Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ame-act kama brother mmoja jirani yetu kwenye miaka ya 2004 yeye alimfumania mkewe na mwanaume ila toka muda ule aliposhuhudia kile kitendo mwezi mmoja na siku mbele hakuwahi kuongea lolote na yule mwanamke,hata salamu tu hakuipokea alikaa kimya kama bubu.Umeenda vizuri ukaharibu mwishoni.
Kama uliamua kumsamehe baada ya kukiri ilitakiwa umlambe makofi kadhaa kwa hasira ndio umpe onyo. Ulivyo samehe kilaini hivyo ndio maana bado haamini kama kweli umemsamehe.
Ukihamua kuwa kwenye familia lazima uwe tayari kuvumilia, kuzikabili changamoto kama hizi, kwa kuwa alarm imeshagonga uhamuzi utakuwa rahisi sana kwangu.subiri kuchapiwa Tena utarudia hapa
Yote nimefanyia, ila naona kama ameharibika kisaikolojia.Msamehe tu.
Ila mkanye
Unapoingia kwenye ndoa na familia lazima uwe tayari kupambana na changamoto kama hizi.Yote ya nini?? Kama amediriki kuchepuka basi ni dhahiri hathamini penzi lako wala utu wako.
Maradhi mengi siku hizi ya nini kuleteana vifo mapema. Mwenye asili yake haachi. Leo ka cheat na X kesho ata cheat na Y yote akijua adhabu itakuwa kununiwa na yeye atajinyong'onyesha na wewe utasamehe.
Pale ulipogundua kacheat ndipo palipaswa pawe ukomo wa ndoa yenyewe. Mpaka wewe kujua inamaanisha aidha aliamini sana 'ujanja' wake ama alitambua kuwa ni mpumbavu kwake.
Niamini hata mkisameheana hutomuangalia kwa mtazamo ule ule tena kabla ya kumkamata, daima atakuwa msaliti kwako hivyo adhabu ni yenu wote.
Si ajabu mchepuko anamlaa mpk [emoji872]Subiri wampige pumbu vizuri ndio akili itakukaa sawa.
Sasa si unamuonea huruma, subiri atakupiga tukio wewe ndio utachanganyikiwa.
HapanaWewe huchepuki?
Safi sanaHuyu jamaa ame-act kama brother mmoja jirani yetu kwenye miaka ya 2004 yeye alimfumania mkewe na mwanaume ila toka muda ule aliposhuhudia kile kitendo mwezi mmoja na siku mbele hakuwahi kuongea lolote na yule mwanamke.
Waliishi nyumba moja,jamaa akawa analala sebuleni kula anakula anakojua mwenyewe mwanamke akawa anamlilia jamaa hasemi chochote kumjibu mwisho mwanamke akahisi labda jamaa anataka kumuuwa akakimbilia kwao week ya kwanza ya pili wakamuuliza upo hapa wewe si umeolewa?akawaambia mpigieni mume wangu atawaeleza mume kupigiwa akasema muulizeni mwenyewe.
To cut a long story mwanamke alikuwa analia tu hakutaka kusema ukweli akitaka jamaa ndo alalamike mwisho wakwe wakamwita kikao akaenda kila akiulizwa anasema muulizeni huyo mtoto wenu mzee akamwambia mkewe aende akaongee na mwanae jibu likaja alifumaniwa wakamuuliza jamaa tunafanyaje alichojibu akawaambia nilitaka akiri hilo mwenyewe bakini na mtoto wenu.
Unasameheje mwanamke mzinifu?nimeshangaa sana yaani nikiwaza huo uchafu kichwa kinaniuma kama imenitokea mimi.
Kiukweli hadi nimemuonea huruma, kisaikolojia anateseka sana, kwanza haelewi afanyajeHiyo dawa nimeipenda
Huna chako hapo jiongeze mkuu,kama utaendelezea kutetezi basi hii ni chai kama chaiYote nimefanyia, ila naona kama ameharibika kisaikolojia.
Mk wake ataendelea kuliwa na mchepuko wake si ajabu mpaka [emoji872]Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikapata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)[emoji15][emoji3064]
Wala sina kazi, kwangu mimi haya ni mambo mepesi sana kudeal nayo.Kazi unayo sasa si uondoke tuu ukapange kila mtu aendeleee na hamsini zake
Zipo changamoto za kupambana nazo, sio usaliti mpaka kukamata mtu.Unapoingia kwenye ndoa na familia lazima uwe tayari kupambana na changamoto kama hizi.