Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Kiukweli hadi nimemuonea huruma, kisaikolojia anateseka sana, kwanza haelewi afanyaje

Unajua kinachomtafuna ndani ni kwamba wewe humpendi wala humjali kwanini hujamgusa kibao kimoja???[emoji23][emoji23]wanawake wana vituko sana wakipigwa wanaonewa wasipopigwa wanaona hawapendwi
 
Sema ubaya unakuja pale atakapoona kuwa ni kawaida tu UTANUNA SIKU SITA THEN ATAOMBA MSAMAHA UTAMSAMEHE TUU...SIDHANI KAMA ATAACHANA NA JAMAA YAKE NARUDIA TENA SIDHANI,watakaa mbali kwa siku kadhaa tu
 
Bro unaujua uchungu wa kusalitiwa wewe????
ungeelewa ungenielewa pongezi yangu iligusa nyanja gani... nakuhakikishia huyu mwamba ni jasiri na mwamba kweli kweli yaani ugundue huo usaliti ukaekimya usimdhuru huyo mwanamke weeeh....huo uwezo wanaowatu wachache saana
 
Nataka nikushauri kitu ila basi usije niona mimi mwanga wa penzi lako
 
Safi. Huyo alifanya uamuzi sahihi.
 
Subiri wampige pumbu vizuri ndio akili itakukaa sawa.

Sasa si unamuonea huruma, subiri atakupiga tukio wewe ndio utachanganyikiwa.
Mkuu kama hakuweza kuchanganyikiwa na hili basi kamwe hatoweza changanyikiwa na lengine na mengine.Kilichopo hapo hawa wote ni wachepukaji.
OVA.
 
Kwenye kikao cha mwisho tulikubaliana kwamba mwanamke akicheat na ukajihakikishia huo ndio unakua mwisho wa ndoa, kwa undezi huu subir kufa kwa HIV pia kulea watoto wasio wakwako, pambafu we, swine.
Singo faza fo laifu.
 
Kwenye kikao cha mwisho tulikubaliana kwamba mwanamke akicheat na ukajihakikishia huo ndio unakua mwisho wa ndoa, kwa undezi huu subir kufa kwa HIV pia kulea watoto wasio wakwako, pambafu we, swine.
Singo faza fo laifu.

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Acha roho mbaya na wivu .
 
Sio lazima afanye unavyowaza wewe. What has done is done maisha lazima yaendelee. Kuacha mke sio vyepesi kama unavyoandika ukiwa umekaza mkono
 
Ukitaka kumtesa ondoka hapo kapange sehemu tofauti na endelea kutimiza majukumu yako kama baba kwa watoto wako.vinginevyo utamtomba halafu ndo itakuwa imeisha hivyo
Hapo ubaya uko wapi ...kuyajenga na mkeo
 
Nimesoma comment nyingi za wanaume wenzangu wakiona adhabu uliyotoa no ndogo na kwao adhabu tosha ilikua kumuacha mkeo.

Huo ni upuuzi na usifuate ushauri wa vijiweni huo. Binadamu ni wakosefu na tunastahili msamaha . Bora amani irejee.

Hawa wanaume ndo wanaotongoza wake zetu kila siku makazini, njiani au wakiwa kwenye biashara. Wako tayari kuwa spoil wake zetu Ili watulize nyege zao ila gafla demu akiwapa walichokua wanakitaka wanaanza kumuona demu hafai.

Huo ni ukichaa na ubinafsi. Yaani naimagine ambavyo kazini tunavyowatoleaga macho wake wa watu na kuwalazimisha japo aflirt na wewe tu ujisikie vizuri , Leo huku JF tunajifanya kuwapandishia vioo mademu waliokamatwa wame cheat .

Kanuni ni ile Ile ya YESU ikiwa kati yenu Kuna mtu hajawahi fanya dhambi na awe wa kwanza kumpiga jiwe mwanamke huyu !!!

Maombi yangu siku zote kama ilivyo kwa wanaume wengi Mungu amlinde mke wangu awe na hofu na aniondolee mtihani huu wa kuzalauliwa na wanaume wasiojua msamaha maana yake Nini.
 
Mke wangu anatarajiwa kuruhusiwa Kutoka hospitalini hapo kesho kwa mujibu wa daktari alivyosema leo. Jana nilimpeleka mtu wa saiklojia, hili ajarabu kuirudisha saiklojia yake sawa. Baada ya kurusiwa Kutoka hospitalini tutakuwa na kikao Pande zote mbili (wazazi wangu na wazazi wake), Hiki kikako kikimalizika salama, maamuzi yangu ya mwisho yatategemeana na kikao hicho (Mengine yaliyoendelea siwezi kuyaandika, lakini nisema kwamba bado hili suala ntalishughulikia na kulimaliza salama)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…