Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upendo huvumilia, upendo husamehe...
Kiukweli hadi nimemuonea huruma, kisaikolojia anateseka sana, kwanza haelewi afanyaje
Unamdanganya mwenzio na yeye aje apigwe tukio kama ulilopigwaga mkeo kukuacha na kwenda kuolewa na hawara yake mwambie ukweli ameshafeli!!!
Ametumia ujasiri wa kiume ila amekuwa mpumbavu kuendelea kudanganywa na huyo mwanamke,wote ni watu wazima humu tambueni silaha kuu ya mwanamke ni machozi once utakapomuelewa akiwa ktk hali ya huzuni hapo hapo ndipo atakapojizalishia defense mechanism ya kujiandaa kujitetea kwa kosa la pili maana ameshaujua udhaifu wako.
Bro unaujua uchungu wa kusalitiwa wewe????Unamdanganya mwenzio na yeye aje apigwe tukio kama ulilopigwaga mkeo kukuacha na kwenda kuolewa na hawara yake mwambie ukweli ameshafeli!!!
Ametumia ujasiri wa kiume ila amekuwa mpumbavu kuendelea kudanganywa na huyo mwanamke,wote ni watu wazima humu tambueni silaha kuu ya mwanamke ni machozi once utakapomuelewa akiwa ktk hali ya huzuni hapo hapo ndipo atakapojizalishia defense mechanism ya kujiandaa kujitetea kwa kosa la pili maana ameshaujua udhaifu wako.
Huyu jamaa najaribu kuelewa anachokifanya japo watu wanacriticise.Duh, watu mna adhabu
Safi. Huyo alifanya uamuzi sahihi.Huyu jamaa ame-act kama brother mmoja jirani yetu kwenye miaka ya 2004 yeye alimfumania mkewe na mwanaume ila toka muda ule aliposhuhudia kile kitendo mwezi mmoja na siku mbele hakuwahi kuongea lolote na yule mwanamke.
Waliishi nyumba moja,jamaa akawa analala sebuleni kula anakula anakojua mwenyewe mwanamke akawa anamlilia jamaa hasemi chochote kumjibu mwisho mwanamke akahisi labda jamaa anataka kumuuwa akakimbilia kwao week ya kwanza ya pili wakamuuliza upo hapa wewe si umeolewa?akawaambia mpigieni mume wangu atawaeleza mume kupigiwa akasema muulizeni mwenyewe.
To cut a long story mwanamke alikuwa analia tu hakutaka kusema ukweli akitaka jamaa ndo alalamike mwisho wakwe wakamwita kikao akaenda kila akiulizwa anasema muulizeni huyo mtoto wenu mzee akamwambia mkewe aende akaongee na mwanae jibu likaja alifumaniwa wakamuuliza jamaa tunafanyaje alichojibu akawaambia nilitaka akiri hilo mwenyewe bakini na mtoto wenu.
Unasameheje mwanamke mzinifu?nimeshangaa sana yaani nikiwaza huo uchafu kichwa kinaniuma kama imenitokea mimi.
Mkuu kama hakuweza kuchanganyikiwa na hili basi kamwe hatoweza changanyikiwa na lengine na mengine.Kilichopo hapo hawa wote ni wachepukaji.Subiri wampige pumbu vizuri ndio akili itakukaa sawa.
Sasa si unamuonea huruma, subiri atakupiga tukio wewe ndio utachanganyikiwa.
Kwenye kikao cha mwisho tulikubaliana kwamba mwanamke akicheat na ukajihakikishia huo ndio unakua mwisho wa ndoa, kwa undezi huu subir kufa kwa HIV pia kulea watoto wasio wakwako, pambafu we, swine.
Singo faza fo laifu.
Acha roho mbaya na wivu .Yote ya nini?? Kama amediriki kuchepuka basi ni dhahiri hathamini penzi lako wala utu wako.
Maradhi mengi siku hizi ya nini kuleteana vifo mapema. Mwenye asili yake haachi. Leo ka cheat na X kesho ata cheat na Y yote akijua adhabu itakuwa kununiwa na yeye atajinyong'onyesha na wewe utasamehe.
Pale ulipogundua kacheat ndipo palipaswa pawe ukomo wa ndoa yenyewe. Mpaka wewe kujua inamaanisha aidha aliamini sana 'ujanja' wake ama alitambua kuwa wewe ni mpumbavu kwake.
Niamini hata mkisameheana hutomuangalia kwa mtazamo ule ule tena kabla ya kumkamata, daima atakuwa msaliti kwako hivyo adhabu ni yenu wote.
We umekerwa na kipi kwa mfano. Hicho ndo alichoamua kufanya yeyeKazi unayo sasa si uondoke tuu ukapange kila mtu aendeleee na hamsini zake
Sio lazima afanye unavyowaza wewe. What has done is done maisha lazima yaendelee. Kuacha mke sio vyepesi kama unavyoandika ukiwa umekaza mkonoKununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.
Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.
Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.
Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)
Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.
Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.
Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.
BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
Hapo ubaya uko wapi ...kuyajenga na mkeoUkitaka kumtesa ondoka hapo kapange sehemu tofauti na endelea kutimiza majukumu yako kama baba kwa watoto wako.vinginevyo utamtomba halafu ndo itakuwa imeisha hivyo
Ukiyajenga chap atakuzoeaHapo ubaya uko wapi ...kuyajenga na mkeo
Mke wangu anatarajiwa kuruhusiwa Kutoka hospitalini hapo kesho kwa mujibu wa daktari alivyosema leo. Jana nilimpeleka mtu wa saiklojia, hili ajarabu kuirudisha saiklojia yake sawa. Baada ya kurusiwa Kutoka hospitalini tutakuwa na kikao Pande zote mbili (wazazi wangu na wazazi wake), Hiki kikako kikimalizika salama, maamuzi yangu ya mwisho yatategemeana na kikao hicho (Mengine yaliyoendelea siwezi kuyaandika, lakini nisema kwamba bado hili suala ntalishughulikia na kulimaliza salama)Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.
Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo
1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.
2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)
3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.
4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.
5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)
6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.
7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)
8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.
9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)
10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).
Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.
Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.
Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.