Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Najuta kuharibu ushauri wangu
 
Swaga tu hizo,
HAKUNA MWANAMKE ANAYE WEZA KUNYWA SUMU KWA SASA
 
Yaani kama huyo mwanamke angekuwa mke wangu mimi basi angekula makofi na mikwara ya kutosha, na hilo fala lake ningemfanya kitu mbaya mpaka angeomba mungu amchukue hata kesho.
Yaani mkuu inakuaje unamsusia mkeo badala ya kusimama kama mwanaume na umuonyeshe maana ya kuwa mume ndani ya ndoa?

Unatakiwa uwe na side mbili kama shilingi upande mmoja ni mwema na mwengine ni mwenye roho mbaya mpaka satan anapiga magoti mbele yako, na kama mkeo akizingua basi muoneshe upande wako wa pili na atakuheshimu milele au otherwise atakufanya boya milele.

Hakikisha mkeo anajua wewe sio mtu wa utani utani mbele ya ujinga, unatakiwa umuoneshe kwamba I'm the alpha here!
 
Nakuhakikishia mkeo ataendelea kuchepuka na this time hutojua.
 
Nakupa pongeI. Bandiko lako la maana sana. Nitalikopi na kuliweka kumbukumbu yakija nitokea nitumie njia hii.

Jf idumu, tunapata.mafunzo.mengi japokua wakati mwengine kunakuwaga na thredi wenyewe wanasema CHAI.
 
Mwanaume unanuna na hakika hukuhuzuria kikao ,mwanaume fanya maamuzi ya kiume yaani unasubiri mwanamke akiri then maisha yaendelee au
 
Nakupa pongeI. Bandiko lako la maana sana. Nitalikopi na kuliweka kumbukumbu yakija nitokea nitumie njia hii.

Jf idumu, tunapata.mafunzo.mengi japokua wakati mwengine kunakuwaga na thredi wenyewe wanasema CHAI.
sasa hii chai ina maji mengi kiujumla mpishi hajui chochote
 
Kama unaweza tafuta sababu halisi kwanini alichepuka? Ndoa yenu ina miaka mingapi? Bila kutatua chanzo cha kuchepuka- hali itajirudia. Inawezekana na wewe mwenyewe unatakiwa kwenda darasani - wanaume wengi wanadhani wanajua kumbe - hawajui.
sahihi mkuu
 
ni wewe huyu unaandika yote haya au???

kwamba wewe huchepuki, au mkeo hachepuki na mchungaji??

au kwa vile hujamkamata???
hiyo hafichi wewe kufanya maamuzi ya kiume mwanamke kuchepuka ni doa kubwa halifumbiwi macho
 
Mixx by Yas
 
Mnaendeleaje kwa sasa?
Adhabu uliyompa ni kubwa mno .
 
Shida ni kwamba ukitaka kula papuchi unawaza , hii papuchi Dula nae kala ukipewa style ya Lisu mwenyekiti unawaza Dula alipewa hii hii unapata mawazo kidudu kinanywea kwisha habari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…