Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mwanamke mchepukaji hata familia yake huwa haijali. Wanatoa K hadi hisia na ubongo wote. Ndio maana ukishajua mke wa ndoa tena ndoa kabisa anatoa papa nje, red card is a must!!
 
Hiyo ni kwako. Wengine wanasamehe na maisha yanasonga.
Maboya huwa hayakosi.Inauma sana mtu anaenda kuchepuka huko,halafu anarudi kwako,duuuh! ni dharau mbaya sana,tena kwa ex,hapana kwakweli.
Mwanamke anatakiwa ajiulize,kwanini huyo ex wake hakumuoa na mwishoe akaoa mwingine,haoni alionwa ana kasoro?
Wewe mwanaume unayemuoa mwanamke halafu ukajakujua anachepuka na ex wake,kwanini usijiulize kwanini ex wake hakumuoa,wewe ukaokoteza huko ukamuoa?
Kama mwanamke hakuolewa na ex wake,na bado anachepuka kwa huyohuyo ex wake,ujue hakuna atakayekuja kuwatenganisha,labda kifo pekekee,nawewe mwanaume ambaye mkeo anachepuka na unamsamehe,kubali kuishi maisha ya kuchapiwa tu hali ambayo maex wa mkeo waliikataa,wakamwambia mkeo aolewe tu,na wao waoe wanawake wenye sifa wazitakazo,halafu kama ni mapenzi,watakua wanafanya.
Ni fedheha sana mwanaume kuchapiwa na ukajua halafu eti ukasamehe,nadhani hata mwanamke anapolia,anakua anajidifendi kua huyu boya akiniacha,sijui ntapata boya wa hivi wapi tena,maana wanaume wengine naweza nikampata akaniua kwa huu ujinga ninaomfanyia huyu mpumbavu.
 
Maboya huwa hayakosi.Inauma sana mtu anaenda kuchepuka huko,halafu anarudi kwako,duuuh! ni dharau mbaya sana,tena kwa ex,hapana kwakweli.
Mwanamke anatakiwa ajiulize,kwanini huyo ex wake hakumuoa na mwishoe akaoa mwingine,haoni alionwa ana kasoro?
Wewe mwanaume unayemuoa mwanamke halafu ukajakujua anachepuka na ex wake,kwanini usijiulize kwanini ex wake hakumuoa,wewe ukaokoteza huko ukamuoa?
Kama mwanamke hakuolewa na ex wake,na bado anachepuka kwa huyohuyo ex wake,ujue hakuna atakayekuja kuwatenganisha,labda kifo pekekee,nawewe mwanaume ambaye mkeo anachepuka na unamsamehe,kubali kuishi maisha ya kuchapiwa tu hali ambayo maex wa mkeo waliikataa,wakamwambia mkeo aolewe tu,na wao waoe wanawake wenye sifa wazitakazo,halafu kama ni mapenzi,watakua wanafanya.
Ni fedheha sana mwanaume kuchapiwa na ukajua halafu eti ukasamehe,nadhani hata mwanamke anapolia,anakua anajidifendi kua huyu boya akiniacha,sijui ntapata boya wa hivi wapi tena,maana wanaume wengine naweza nikampata akaniua kwa huu ujinga ninaomfanyia huyu mpumbavu.
Kama na wewe mchepukaji haisadii, utagongewa tu hakuna namna. Weka hiyo misimamo kama wewe ni msafi.
 
Hapo anaye tilia huruma ni wewe umetombewa halafu Bado una lala mzungu wanne ume Susa kula chakula anacho pika mkeo wakati unatoa hela zako , mke umeoa Kwa Pesa zako lako lakini Bado anakuumiza kihisia ,

Honestly Mimi ndiye naona wewe ndiye unaye teseka you're not happy with your life you have choose [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Bad enough mkeo ana kuigizia kuwa ana kosa furaha Kwa kilicho tokea na wewe Una kubali umenasa kwenye mtego

Kuna msemo mmoja vijana Huwa Wana sema ---- kabla hauja msamehe mwanamke aliye kusaliti fikiria kwamba wakati ana tiwa Kuna wakati dushe lilichomoka aka lirudishia Kwa ndani na alipo kuwa ana fika kileleni alisema baby nakojooooaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kwisha habari yako , jiandae kupewa mimba Ambayo sio Yako
 
Nakumbuka msemo mmoja wa Siraha ya mnafiki ni mchozi yake mwenyewe brother nachelea kuamini kuwa mpaka hapo umepigwa chenga ya mwili we mlaini kabisa adhabu siku 6 ndio ilete sherehe za kuwa ume win na kushauri watu watumie mbinu yako aise huwajui wanawake bado sana kwahiyo unahisi alivyo kuwa akilia ndio anajuta [emoji23] brother nakupa miez 3 mpaka 6 utakamata tena mawasiliano yao tena anaombwa akapigwe tena mashine [emoji23] hayo ndio madhara ya kuoa wanawake walio fumuliwa tayari
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtakuja kumuua Kwa stress,
 
Umejuaje mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hakuna mwanamke anaye achana na mchepuko wake eti kwaajili ya kufumaniwa , sana sana utakavyo mu- abuse huyo bwana wake wa kando ndio unazidi kumfanya akuchukie na kutamani kumpa papa tena na tena ,
 
Mwanamke akichepuka anaachwa ndg hiyo ni sheria ya maisha
(Ukweli ni kwamba 90% ya wanaume wake zetu tunawapa kimoja tukizid sana viwili so akichepuka huko nje akapewa vinne vya kushiba we hutakuwa na thaman tena kwake
So hata ukimsamehe atamis tu ile shughuli ya nje) ndo maana kesi ya mke kuchepuka haijadiliwi ni kuachwa tu
Agreed [emoji419][emoji419][emoji419][emoji16]
 
baada ya kugundua ananicheat nilimuita na kumjuza how ninajihisi baada ya kugundua anafanya hivyo, nakumbuka alilia toka saa 5 usiku hadi 10 ahsubuhi akiomba nimsamehe kwani nilimuahidi kwamba ifikapo kesho yake atakapoenda kazini kwake basi akirudi hatonikuta kwani nitabeba kilicho changu nitaondoka na kumuachia nyumba aishi peke yake, Mwanamke yule aliloanisha bukta yangu kwa machozi yake maana alikuwa amepiga magoti na kuniegemea miguuni muda huo mimi nimekaa kwenye sofa, Alilia hadi nikaona huyu sasa nisipomsamehe anaweza kufanya maamuzi ya hovyo ikabidi nisamehe bn, Na pale ndo lilikuwa kosa.
Mkuu malizia tuchukue point
 
Wanawake wana hila kifupi yeye ndiyo ameshinda hakika atarudia kuchepuka na hutajua, kwasababu kosa lake ni wewe kujua
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
... ni adhabu nzuri ila ni suala la muda tu huwa vichwa vya panzi hao... lazima X atapelekewa tena mbususu sababu anaonekana ni mchakataji mzuri na sababu huenda sababu iliyowaachanisha haikuwa ya msingi... tatizo vile vikao vyetu hamuhudhurii.
 
Back
Top Bottom