Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana

Pole sana Mkuu ,kwanza mpk hapo huyo MKE kaishaliwa
Pili kama huko chama ni CCMajamaa mwakani Yana uchaguzi wao ,huyo kaishapewa nafasi na wakubwa ,aende kuwaliwaza
 
Wadau naona wanasisitiza kwamba atatombwa na wana-lumumba. Hebu jaribu kumweleza wasiwasi wako kuhusu jambo hili uskie anasema nini kwanza. Lakini kwako pia unaathirika vipi akifanya siasa!
Kulombwa hakukwepeki Mkuu,yeye kama atakubali aingie huko ,asiwe anamufuatilia, huko Kuna vikao Hadi usiku wa manane vya mikakati na Kampeni,Kuna ma utani ya kijinga jinga sana, Kuna Kipindi atataka hela ili awawini wajumbe,hapa vigogo lzm visaidie vipate uroda
 
Hahahaha,siku nyingi, kwa uzoefu wangu wa Siasa kadonolewa kipindi Cha kampeni ya uchaguzi Mkuu ,Sasa mdonoaji na mdonolewa wamenogewa , wanataka mwakani waingie RASMI huko ktk Siasa

Mtibeli KAZI anayo
Duh!..poor Mtibeli...😔😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…