Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana


πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„
Dadeki! Msamaha unaenda kuombewa Paris huku account yako ikitanguliziwa kitu chochote.

Hii ishakuwa changamoto
 
Mbona inshu yako simple tu....
Mpe mimba...

Kataa kabisa ndoa ili ulinde afya yako ya akili
 
πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„
Dadeki! Msamaha unaenda kuombewa Paris huku account yako ikitanguliziwa kitu chochote.

Hii ishakuwa changamoto

Huo ndio ukweli,,,
Siasa za bongo ni zaidi ya uzijuavyo.
Hata wanaume pia yuko radhi atembee na bibi apate connection.
Sema mwanafalsa ni mwana siwezi kumuanika hapa.
Fatilia mbio zake mkono wa nani uko pale?? usidhani ile ni bahati au muziki unalipa na kukupa access ya bungee kirahisi tu.
 
Kuna mjuba alikuwa anamkataza mke wake kufanya kazi/kuajiriwa kwa hofu ya kugongewa, mke akawa mama wa nyumbani tu a.k.a goalkeeper. Mjuba alikuja kufa kwa ajali ya pikipiki akaacha mke na watoto wawili. Mama ikabidi atoke nyumbani kwenda kutafua shughuli za kufanya kwani alizoea kuletewa kila kitu na mumewe, mume amekufa na kumuacha mke wahuni wakijilia bila hofu ya kufumaniwa. Ishu ni kwamba mwanamke hakuzoeshwa kufanya kazi kwani sasa anataabika kufanya vibarua vya hapa na pale kwa ujira mdogo, amepungua unene, awali alikuwa amejazia makebo ila kwa sasa huko nyuma hana mvuto. Wajuba ruhusuni wake zenu watoke nyumbani wakajumuike huko nje, msifikirie sana kugongewa, kuliwa wataliwa tu hata mkiwafungia ndani, mkitoka tu kuna wahuni watapakua mizinga yenu
 


Aaaah! Jamaa lakini anajiona anauwezo na kukubalika achilia ile ajali ya kuzomewa
 

Wajuba hofu yao ni kuwa siasani huko kuna Mapapa ambao hawana msamiati huruma wala kusaza hata makombo. Alafu wakiondoka wanaondoka na mke jumlajumla. Na huna kitu utawafanya zaidi ya kubweka bweka na kulaaani kama mbwa koko
 
Aaaah! Jamaa lakini anajiona anauwezo na kukubalika achilia ile ajali ya kuzomewa

Hivyo vyote sijaongelea,,, namaanisha mpaka anapata hicho kiti na hapo alipo.
Huku haijalishi unakubalika sijui una vigezo!!! Kuna kanuni zake.
Wabunge wanachaguliwa na mtu tano tu. wananchi mnaenda kufanya maigizo ya uchaguzi.
 
Hiyo Rushwa ya ngono sio lazima, muache atimize ndoto yake si dhambi Wala kosa!
 
Hivyo vyote sijaongelea,,, namaanisha mpaka anapata hicho kiti na hapo alipo.
Huku haijalishi unakubalika sijui una vigezo!!! Kuna kanuni zake.
Wabunge wanachaguliwa na mtu tano tu. wananchi mnaenda kufanya maigizo ya uchaguzi.

Hatari sana. Kwa hiyo hapo issue ni uwe na connection ndefu sana mpaka kwenye tano.

Sasa mbona walio na hizo connection hawawi machawa wa hao wajuba. Lakini hawa kina
Lucas Mwashambwa ambao hata hawajawahi kuonana na wajuba wanapiga piga kelele humu
 
We ukae na quuma miaka yote unakulaga peke yako tu, fahamu kuwa wale kuna nyakati hutaka kuonja ladha ya mtulinga mwingine, usipokuwa mvumilivu kugongewa utavunja ndoa na kuishia kuchekwa na wazee kuwa ni mshamba kwenye mahusiano ya kindoa. Wazee wanakuambia wao wamevumilia mengi ndio maana wameishi muda mrefu na wake zao bila kuachana. Wanasema kugongewa kupo sana tu utake usitake
 
πŸ˜„πŸ˜„
Sasa mbona unakuwa kama unashangilia ushindi mkuu? Kipi kinakufurahisha. Naona kama umetwaa taji
nashangilia maana finally ujuaji wako unakuponza na ulivyo fal.a unaweza kua unachekekjea kimoyo moyo mkeo anaenda kua mheshimiwa. Tehee heeee sasa huo ndio ujuha zaidi
sikila wewe, kuna wajuba wanafahamu pima kuwa wake zao wanatombeka sana nje ila wamejitoa ufahamu ili wanufaike kiuchumi, wake zao wanaleta mpunga nyumbani, wajuba wameamua kuwa mazoba ili maisha yasonge mbele isiwe taabu
hewaaaa sawa kabisa na ndio huyu wa kuitwa mtibeli au hata wewe na mazoba wengine wakubaliane na ukweli huo.
 
Siku hizi ukiingia ndoani ujiandae vema kukabiliana na dhoruba za ndoani. Ishu kubwa ni kugongewa na ya pili ni mke kuwa mbinafsi, atafanya maendeleo kwao bila kukushirikisha, ukileta za kuleta unapigwa chini hata kama mmezaa watoto. Utamfanya nini na ana mshahara/kipato?, utaburuzwa mahakamani ukaachwe kwa talaka mwenzako awe huru kuolewa na anayemtamani usiwe na hoja ya kumfuatafuata huko kwa mume mpya. Wanawake ndio hukimbilia mahakamani kudai talaka waachwe huru, wanaume si wengi sana wanaodai talaka, wao huacha kimyakimya mambo yakiwa magumu
 
Hatari sana. Kwa hiyo hapo issue ni uwe na connection ndefu sana mpaka kwenye tano.

Sasa mbona walio na hizo connection hawawi machawa wa hao wajuba. Lakini hawa kina
Lucas Mwashambwa ambao hata hawajawahi kuonana na wajuba wanapiga piga kelele humu

Kidogo umeanza kunielewa.
Uwe na connection kwenye tano ,, au uwe na mtu mwenye ushawishi kwenye tano na pia uwe na kitu tano inataka kwa wakati.

Sasa hapo wengi ndio hukwama,, kama ni mwanamke unaweza toa sana kipapa na usipate.
Mwanaume ukahonga sana na ukakosa ukaishia kutukana chama.
Hujawahi kukutana na watu ukiwaambia siasa wanakutukana kabisa maana ilisha wanyoosha

Mfano tano ilivyompiga kwa dharau Zito kwao. Na unaweza Shangaa huyo levo akaishia term moja tu.

Machawa hao mimi sijui na hata siwezi kuwasemea.
Lakini uchawa haukupi guarantee ya kulamba ubunge au teuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…