Mimi nahisi haya yafuatayo;
1. Huenda unacheza huko nje, hivyo unapofika nyumbani unakuwa umechoka, au unakuwa na maandalizi ya kwenda kucheza vizuri huko nje. Sasa kama ni kweli, punguza mara moja, vinginevyo itakukost.
2. Huenda unacheza game hiyo bila mpinzani, wala mshabiki. hii inakumalizia nguvu sana na hivyo unapaswa kupunguza. Jaribu kwenda bafuni na mwenzio kila unapokwenda kuoga, au jaribu kuallocate muda wa kustay bafuni kwa kupunguza, just 6minutes time is enough.
3. Pata vyakula vinavyohitajika kwa kukupatia uwezo wa kucheza game hiyo.
4. Iwapo imeshindikana kabisa, omba usaidizi kwa kutoa access za nyumbani kwako. Atanyooka!