Datascientist
Senior Member
- Jul 23, 2024
- 107
- 291
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.
Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002