Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hivi mbona ninyi mnachukulia hili jambo kwa wepesi sana? Hebu Evelyn Salt njoo tujaribu kumsaidia mleta mada kabla hii ndoa haijavunjikaWe boya kweli..wakiitwa wanaume na wewe unajitokeza?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mbona ninyi mnachukulia hili jambo kwa wepesi sana? Hebu Evelyn Salt njoo tujaribu kumsaidia mleta mada kabla hii ndoa haijavunjikaWe boya kweli..wakiitwa wanaume na wewe unajitokeza?!
Hivi mbona ninyi mnachukulia hili jambo kwa wepesi sana?
Ndivyo Dini inavyotakaUnataka awe anavaa hijab na ninja chumbani?
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo, tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, NimeshamuonyaMpe kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Mpe talaka....tafuta wanaova baibui chumbaniHabari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo, tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Hili jambo linaweza kuleta mpasuko wa Ndoa kabisa mkifanya masiharaNa wewe ni wale wale..haya elezea kuna uzito gani hapo?!
AiseeHili jambo linaweza kuleta mpasuko wa Ndoa kabisa mkifanya masihara
Mods bila picha huu Uzi ufutwe maana ni kujaza serva za Jf bureeHabari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.
Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Wanaume wa darsasa maadili ya mwafrica yanaingiaje chumbani??
manaume ya dizaini hii bure kabisa
Nimezaliwa 99 mimi ni millennialKati ya ww na mke wako nani wa 2000 hapo?
99 mmeanza kuoa? Duh Kwa hali hii nshakua babuNimezaliwa 99 mimi ni millennial
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.