Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani

Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.

Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.

Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Penye miti hakunaga wajenzi...🤣
 
Mpige picha akiwa uchi kisirisiri alafu mfate Baba yake umuonyeshe hiyo picha atamuonya.
 
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.

Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.

Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Datascientist huyo mkeo ana mzigo?
Muone shekh Mapozeo kwa ushauri wa kidini.
 
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.

Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.

Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Nitumie mawasiliano yake nikusaidie kumkanya
 
kijana wa hovyo kabisa wewe, nyambafu kabisa....
Sasa ulitaka avae madera chumbani?
 
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.

Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.

Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Asa

Yupo sawa kw sababu anafanya hivyo akiwa chumbani
 
Mleta mada huna akili, Kuna haja gani ya kutembea na manguo marefu chumbani mnapolala wawili...acha Bangi basi
 
downloadfile-9.jpg
 
Back
Top Bottom