Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani

Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.

Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.

Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Tumeuanza mwaka vizuri sana, tumevuka nusu mwaka vyema kabisa.

Sikutegemea mwaka kuharibika mapema hivi.

Umewaza na kuwazua kisha unakuja ukumbini umebeba chupi la mkeo unalalamika hataki kuivaa kabla ya kulala.

Hakika, una shida isiyotambulika kwenye rada zote za matatizo
 
Mimi mke wangu tunazurura chumbani uchiuchi na kama watoto hawapo tunafunga mlango wa sebureni ni uchi tu Hadi sebureni, jikoni....sometimes utsmkuta anapika jikoni na kichupi....
 
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.

Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.

Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Dogo ushapata ajira?
 
Jamani ulitaka avaeje?
 
Nakushauri umuache huyo hakufai mtafute anaejistiri hahahaha
 
Nadhani una tatizo la kisaikolojia huyo mkeo kafundwa ameelezwa unapokuwa chumbani na mmeo weka mazingira mazuri ya kumvuta mmeo aweze kupata muwasha washa wa mechi sasa ndugu yangu ukimkataza unataka avae gunia mkiwa chumbani? Wakupime akili wewe
 
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.

Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.

Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Chai
 
muue,,mkuu
GW3t7QCXEAAXYd7.jpg
 
Nenda kamshitaki kwa Waziri Gwajima, usikubali kunyanyaswa kijinsia.
 
Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo.

Tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.

Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
😂😂😂😂 Mavazi yasiyo ya maadili au sio!!? Endelea kumkanya na siku akianza rasmi kuvaa unavyotaka hayo manyoyaa tayari, kuku kashaliwa
 
Back
Top Bottom