Datascientist
Senior Member
- Jul 23, 2024
- 107
- 291
Tafta mume achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu. Tafta mume uolewe.Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo, tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Acha ushamba hakuna mavaz ya Uchi uchi mkiwa chumban. Shida n kuvaa uchiuchi nje ya Nyumba.Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo, tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Wahuni hao hakuna watu hapo..sasa maadili ya mwafrica yanaingiaje chumbani??
manaume ya dizaini hii bure kabisa
Slow learner!!Habari wana MMU. Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani. Nimesema sana naona haelewi, miezi sita kwenye ndoa lakini mambo mengi ambayo nilikuwa siyataki ameyaacha, swala la mavazi ndio limekuwa tatizo, tukiwa chumbani anavaa uchi uchi mapaja yote njenje, Nimeshamuonya kuwa haya mavazi ni kinyume na maadili ya mwafrika lakini hasikii, Akitoka chumbani anavaa khanga ila akirudi anaivua kwa kuitupa chini makusudi.
Nitumie njia gani ili abadilike? Au niwaite wazee wake tukae kikao?
Naanza kujuta kuoa wa 2002
Uzungu umewaharibu unawatetea wanaovaa hovyoHuyu mleta mada ni mpumbavu wa kawaida
Ndio ushasema hivyo..na ndio alivyo hata hivyoKidogo niseme huna akili!
Ukajikuta umeshasema 😂Kidogo niseme huna akili!