Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani

Kimasihara watu mtadhani hii ni chai ila niwaambie tu Dada zangu olewa na mtu mnayeendana umri usikutishe kama sio wakati wako wa kuolewa tulia tu huyu mwamba kuna siku ataua mke kisa kakaa uchi chumbani
 
Wee mshamba nini ulitaka akavae nusu uchi barabarani?, labda kaona humrizishi vzr ndo anakutamanisha ili umpige paip vzr na wewe kumbe ndo unaendeleza uboya
 
nyie ndo Mnasababisha wamama walale na Tshirt t zimeandikwa VICOBA UBONGO MSEWE!
 
Data scientist unahoja usikilizwe
 
Kwani dada ako uyo
 
We jamaa bwana, si mpo CHUMBANI au yupo njee uwanjani labda halafu si mkeo au ????
Watu kama nyie mtasaidiwa alaaa

#kaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…