Mke wangu anawasiliana kwa Kiingereza, halafu anasema Ni simu za kazini. Naombeni mnitafsirie

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,591
Reaction score
6,114
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly

Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
 
Mtafute Shilole Ni Ambassador Wa Rasi Simba Atakutatulia Matatizo Yako
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly

Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwakua na mke....Saafi kabisa

Ok hii ndio tafsiri yake: "Nakuelewa...Bado sijalala, hata hivyo kwa kusisitiza huo ndio msimamo wangu na hautabadilika...Hakuna tatizo, we kuwa siriazi na fanya kama inavyotakiwa"

Sasa mkuu hapo bado haitoi picha kamili kama ni ya mapenzi ama la, labda uongezee nyingine zaidi ili kuleta picha kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii msg moja tu? Ndio inakukimbiza kuomba Ushauri?
Fanya usome zote kwanza utaelewa....ndio uje na maswali.
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
 
Haya wana panel ya ki white mukuje huku, sio lazima niwataje majina.
cc
cc
cc
 
Back
Top Bottom