Mke wangu anawasiliana kwa Kiingereza, halafu anasema Ni simu za kazini. Naombeni mnitafsirie

Mke wangu anawasiliana kwa Kiingereza, halafu anasema Ni simu za kazini. Naombeni mnitafsirie

I
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly

Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Tafsiri yake:
Nakuelewa bado sijalala,ingawa katika maelezo (yangu) muhimu ambayo ndio msimamo wangu endelevu, hakuna tatizo, fanya tu kwa umakini na inavyotakiwa.


Imekaa kikazi zaidi kuliko mapenzi
 
Yote yawezakana, kazi, mapenzi au yote mawili kwa mpigo. Kwani meseji iliyojibiwa na hiyo ya babe wako inasemaje mbona ujaiweka. Kama kaifuta basi tena huyo mkeo bahati mbaya.
 
Anasema hivi,wewe humridhishi kitandani ukimpiga kimoja tu unaugua na kuugua kumla tena mpaka mwezi ujao,hiyo ndio tafsiri
 
Back
Top Bottom