Mke wangu anawasiliana kwa Kiingereza, halafu anasema Ni simu za kazini. Naombeni mnitafsirie

Kwa hii msg moja tu? Ndio inakukimbiza kuomba Ushauri?
Fanya usome zote kwanza utaelewa....ndio uje na maswali.
Hii ndo waswahili wamesema kuchamba kwingi......ukipata nini kwenye simu yake ndo maana invites simu ya kuganda I kila MTU Ana yake
 
I

Tafsiri yake:
Nakuelewa bado sijalala,ingawa katika maelezo (yangu) muhimu ambayo ndio msimamo wangu endelevu, hakuna tatizo, fanya tu kwa umakini na inavyotakiwa.

Imekaa kikazi zaidi kuliko mapenzi
Mkuu

Upanga wenye makali kuwili; kazi na mapenzi. Kote inafanya uzuri. Ila huwezi hukumu kwa sms moja tu ambayo haina tafsiri ya moja kwa moja, bali ina utata na utete

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ni teja la jf saivi 8:21 usiku mnene upo JF au unaandika kutokea kwenye nyumba ya mtu ulieenda kumuwangia
Nyani haoni kundule. Kama mimi teja basi wewe mpumbavu au kichaa kabisa. Kama ungekuwa na akili timamu ilibidi ujue kwamba hata wewe umeandika meseji yako hii mida ya wanga basi hata wewe pia mwanga au teja. Kweli wewe evil.
 
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Hii ipo katikati ya mada yaani maana yake Kuna mambo yao yalishaongelewa kabla ya hapo Sasa hayo maneno yametumika kutia msisitizo tu wa mambo ya nyuma.
Sasa ungezipata meseji za nyuma kabla ya hizo ulizoleta ndio tungeweza kujua mada yao inahusu nini.
Yaani ni sawasawa unaenda kuangalia sinema/movie halafu unafika tu ndio unakuta staring anakufa,huwezi kuelewa hiyo movie ilikuwa inahusu nini au huwezi kuelewa huyo staring alifanya kosa gani hadi anakufa.
Ndio sawasawa na hiyo meseji yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nacheka [emoji81][emoji81][emoji81] lakin on a serious note,you're facing an ugly truth that your woman is selling your empire kwa bei ya mnada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi hapo pamenitia mashaka.
Inaonesha Kama alimpa masharti na vigezo huyo mwanaume na Bado hajatimiza Sasa ndio anamkumbushia kwamba akiweza kuwa serious na kutimiza hayo masharti mambo mengine yataendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly

Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Kiongozi, Kama ni Mtumishi wa Umma, ujue hiyo sms ni kuliwa kabisa! Unajua kwa nn?
Kwa sababu Watumishi wa Umma hawatumii Kiingereza kuandika madokezo!

Kama ni Mtumishi wa sector binafsi, we lala tu hakuna tatizo, maana Madokezo yao ni Kiingereza tupu!

Acha uoga, wew unachotakiw kufanya ni kumgonga nut ya kirumi Seriously and accordingly and her stand shall sustain!

Back
Top Bottom