Na wewe una mke? Yaani mambo ya mke na mme unayaleta JF kweli? Wanawake wanapitia majaribu mengi sana hapa duniani kama na wewe umeoa!!Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri