Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Ukiona manyoya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeo ana msambwanda?Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
AdhabuAdhabu au starehe
Upo?Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Ambacho hakielewi msimamo(nyuma yamsimamo wamkewe) ,mkewe kashamwambia jamaa bila million 3 hatui mzigo ,msimamoOk hii ndio tafsiri yake: "Nakuelewa...Bado sijalala, hata hivyo kwa kusisitiza huo ndio msimamo wangu na hautabadilika...Hakuna tatizo, we kuwa siriazi na fanya kama inavyotakiwa"
Sasa mkuu hapo bado haitoi picha kamili kama ni ya mapenzi ama la, labda uongezee nyingine zaidi ili kuleta picha kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nimechekaa sanaaMnatuchosha bure wewe ulianzia wapi kuoa Mke anajua Kizungu wewe unajua kimakonde tu?
Ahaaaaaa ila umemichekesha kama nakuona ulivyokuwa ukikopy hiyo SMS kwa simu ya wife [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa shida sana, herufi moja moja kama anaweka sahihi kwa dole gumbaMnatuchosha bure wewe ulianzia wapi kuoa Mke anajua Kizungu wewe unajua kimakonde tu?
Ahaaaaaa ila umemichekesha kama nakuona ulivyokuwa ukikopy hiyo SMS kwa simu ya wife 😂😂😂😂😂
TRAB na TRATMaana yake Nini?
Ila nijibu kwa usahihi kabisa inakuwaje wewe hujasoma hata unaoa mke kasoma hivi inakuja kweli? Ingawa mapenzi hayachagui ila kuna kasoro lazima ije ilete shidaKwa shida sana, herufi moja moja kama anaweka sahihi kwa dole gumba
Wakati mwingine noti ikiwepo inakupa kiburi. Unaona utaweza kuidhibiti akili ya mwanamke msomi, kumbe uko mbali kabisa na uhalisia.Ila nijibu kwa usahihi kabisa inakuwaje wewe hujasoma hata unaoa mke kasoma hivi inakuja kweli? Ingawa mapenzi hayachagui ila kuna kasoro lazima ije ilete shida
Huku kazini nilisikia kisa mwanaume mwenzenu alikuwa akilalamika kwa wenzake mke wake kumuita wakili wa kiume yaan wakili mwenzie ,," dear learned brother" na kamsev hivyo. Eti anasema sio kaka yake ana mashaka😊😊
Mme ana pesa mke ana elimu, ki junior kinapeleka home work kwa baba....daaaad what is the meaning of thiiiis, i don't understand plzzz explain to me daadiiiiiWakati mwingine noti ikiwepo inakupa kiburi. Unaona utaweza kuidhibiti akili ya mwanamke msomi, kumbe uko mbali kabisa na uhalisia.
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Mambo magumu sana.Mme ana pesa mke ana elimu, ki junior kinapeleka home work kwa baba....daaaad what is the meaning of thiiiis, i don't understand plzzz explain to me daadiiiii
Baba anajifanya yupo busy kuongea na wafanyakazi wake, anasema mpelekee mama yako.
Ki junior kinamfata mama jikoni mama yupo busy anapika ila wakati huo anachat na mchepuko. Anamjibu mpelekee Baba.
PumbavuNakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri