Mke wangu anawasiliana kwa Kiingereza, halafu anasema Ni simu za kazini. Naombeni mnitafsirie

Mke wangu anawasiliana kwa Kiingereza, halafu anasema Ni simu za kazini. Naombeni mnitafsirie

Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly

Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Ashamegwa ila kastuka jamaa si mkweli kwenye mambo hayo hivyo amefikia tamati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda hautapata wasaa wa kuingia humu kuuliza.kwahiyo ongea nae vizuri akutafsirie na anza kozi ya hiyo lugha Mara moja,ikiwezekana akufundishe yeye hata usiku kabla ya kulala.
Kuhusu hiyo sms ndo niko na kamusi hapa naungaunga nikimaliza maneno yote ntakutafsiria mkuu wangu.
 
Hiki cha ndaaaani saaana.... Ila cha kuepewa tu ni kwamba... Shemeji ashaliwa anamuambia show ya jana bado imesastain mpaka leo...... Kwa iyo serious ntakutafuta teena siku za karibuni.

Piga ua braza... Anaongeaje lugha za mficho mbele yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda hautapata wasaa wa kuingia humu kuuliza.kwahiyo ongea nae vizuri akutafsirie na anza kozi ya hiyo lugha Mara moja,ikiwezekana akufundishe yeye hata usiku kabla ya kulala.
Kuhusu hiyo sms ndo niko na kamusi hapa naungaunga nikimaliza maneno yote ntakutafsiria mkuu wangu.
Nimechekaa hadi nainekana chizi hapa.
 
Kuna muda hautapata wasaa wa kuingia humu kuuliza.kwahiyo ongea nae vizuri akutafsirie na anza kozi ya hiyo lugha Mara moja,ikiwezekana akufundishe yeye hata usiku kabla ya kulala.
Kuhusu hiyo sms ndo niko na kamusi hapa naungaunga nikimaliza maneno yote ntakutafsiria mkuu wangu.
Hujawahi kuwa seriously mkuu. Hahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok hii ndio tafsiri yake: "Nakuelewa...Bado sijalala, hata hivyo kwa kusisitiza huo ndio msimamo wangu na hautabadilika...Hakuna tatizo, we kuwa siriazi na fanya kama inavyotakiwa"

Sasa mkuu hapo bado haitoi picha kamili kama ni ya mapenzi ama la, labda uongezee nyingine zaidi ili kuleta picha kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenishangaza. Hiyo msg aliyotuma huyo jamaa ina grammar mbovu sijawahi kuona hadi baada kuona tafsiri yako nikagundua ameandika kiingereza kwa mpangalio wa kiswahili.
 
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly

Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Kama umeweza hadi kukikariri hivyo sasa inakuwia gumu wapi kuelewa hadi utuumize vichwa kukufafanuliwa
 
Sasa mkuu si umuulize mke wangu hawa watu unaowasiliana nao usiku ni akina nani?

Kwanini wakupigie simu muda usio wa kazi?

Ni mara ngapi anawasiliana nao? Hizo meseji zinatumwa muda gani?

Kwa taarifa yako ni ngumu kumkamata mwanamke anayekucheat...ni vigumu kwao kusahau akishacheat atafuta vielelezo vyoote ukimkamata ni bahati saana au uambiwe.
 
kwa msaada wa mwalimu wangu wa english darasa la tatu Samson 1982 mkeo anamaanisha jamaa yuko serious kwenye kula mzigo na yuko tayari kuendelea kumtunuku kulingama na nafasi atakavyopata
 
Mnatuchosha bure wewe ulianzia wapi kuoa Mke anajua Kizungu wewe unajua kimakonde tu?

Ahaaaaaa ila umemichekesha kama nakuona ulivyokuwa ukikopy hiyo SMS kwa simu ya wife 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom