Mke wangu anawasiliana kwa Kiingereza, halafu anasema Ni simu za kazini. Naombeni mnitafsirie

Bro unachapiwa

Hapa kwenye "You just act seriously and accordingly" pana mashaka makubwa sana jamaa itakuwa kaifuta papuchi vumbi kisawasawa.

Bagwell
"you just act seriously and accordingly" probably means don't call me when I am with my dude, you will fnck me/get to see me when it's convenient. The first sentence ina maanisha you will only be the side homie i am not going to make you my main squeeze and that is my stand. Wanawake wajanja sana me sijataka kumung'unya maneno kama jamaa haamini asubir ataona in the near future kitakachotokea. Anyways kwa convo kama hizo inaonekana mwanamke ndio ana run hiyo relationship kama ana relationship na huyo jamaa mwingine bado yeye ndio controller pia...


"The bag is still with the bag"
 
Muhim una mbato hayo mengne utapata donda koo skushaur mwanaume kupenda kwenda kazini kwa mkeo utaepuka mengi
 
wee nitafsirie tu
 
Kuna jamaa mfanyabiashara Mlandizi mkewe ni mwalimu na yeye hajaenda shule kabisa ila alikuwa anajua kusoma neno "I love you," ilikuwa akiona hilo neno kwenye simu ya mkewe siku hiyo panachimbika
 
Yaan lugha haipandi au nkifaransa inasema kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…