Mke wangu azidiwa,

Unataka kila siku kwa sababu ni ya bure au? Ungekuwa unalipia ungefanya mlo?

ngoja ile law ya diminishing ianze kua apply then utajua kam ulikuwa unafanya sifa...? au ndo ujemedari...Unaweza ukamchukia mkeo maishani mwako koooote.

ila kama uko hivo.. ongza mke wa pili kama imani inaruhusu
 
Ziltan huu kwa kweli mtihani kaka.... Pole saana. Hii ni mbaya saana inapokua mmoja ni mpenzi saana wa tendo la 6/6 hali mwingine sio. Nimewasoma walochangia hapa na nimependa ushauri wa Nyumba Kubwa.. Yawezekana ni kweli haupo busy saana, na naamini kabisa huyo wifi yetu lazima ana shughuli ambazo zamchosha. Otherwise observe her routine na ujaribu walau punguza baadhi ya shughuli zake kwa kumsaidia, ili kupunguza mzigon na possibility ya uchovu zaidi - na kama kweli ukiwa nae wamtendea haki (kufika sarari) katika hilo tendo, labda kwaweza kua na hope.

Hata hivo nimefurahi kusikia tatizo lako ni kutaka kila saa tena toka kwake... Any wife/hubby (appreciative) lazima afurahi. Maana ingekua huna hamu nae..... Ingekua tatizo zaidi. Best of Luck Ziltan in solving your Issue...
 

appreciation,hi bebi!
 
Jiweke busy maana naona tatizo lako ni kutokuwa na kazi na kufanya mawazo yako yawe hapo hapo kati. Fanya mazoezi sana utapunguza kutamani sex daily.

appreciation, hi mammy!
 
Jaribu kubadilisha style, sio lazima umuingie kila siku, ila usipuuze kupungunguza frequency yako rate ya kuchokana kwa kuzoeana itakuwa kubwa mkashangaa wote mna wasaidizi ilihali ligi mnaiweza kumbe mmekinaiana. Mpe nafasi ya kukumiss mchezoni, 24hrs haitoshi. I am curious to know kazi yako ni nini kiasi cha kuuruhusu mwili wako kuweza kudai tendo kila siku!?!
 
Mimi nafikiri umepunguza u-busy, ina maana hiyo miaka mi3 uliwezaje? Unamfanya huyo mdada kuwa mbadala wa shule? Nina hakika kila akiona giza linaingia anajuta kuwa chini ya dari la nyumba yako!
 
huwezi au unajiendekeza?
Mkeo ana majukumu gani? Huwa unamsaidia? Au mkirudi yeye apike, amwandae mtoto akuandae ule akusafishie nyumba nguo nk. Wewe miguu juu unasubiri sex. saidianeni kazi na majukumu. Kama mke kachoka hata ukeshe usiku mzima kumwandaa haisaidii. Na wewe mume uwe na kiasi. Si lazima mfanye kila siku.
 
You are not serious !!
Nunua prize au vibanio vya nguo vya kuanikia, siku hataki unaibana na prize au kibanio cha nguo.

Pole ila hii tiba nimegraduate muhimbili school of reality.
 
Ukisafiri kikazi nje ya nyumbani itakuwaje?? acha mawazo finyu...think outside the box.....
 
endelea tu kumfanya, kumbuka na wewe unapunguza siku zako za kuishi kwa kasi ya ajabu, kwani kila bao unalomshushia unakuwa umepunguza siku tatu za kuishi hapa duniani. Sasa piga hisabati ya mabao unayompiga mara siku unazomrukia sarakasi kutoa siku anazokuwa apolo (period) hapo utajua ni siiku ngapi za kuishi zimekwisha kupungua kwako.....!!!!!!!!!!!!!!
 
Mungu alimuumba kila binadamu kwa jinsi yake; na kila mume kwa ubavu wake. Tatizo linakuja jinsi ya kumpata wa ubavu wako. Jinsi wewe unavyopenda ku du kila siku, kuna wanawake wako hivyo. Ilipaswa ukutane na mwanamke wa aina yako.

Sasa kwa kuwa umempata huyo ambaye hana uwezo huo, jaribu kuchukuliana nae jinsi alivyo. Jitahidi kupunguza hiyo kasi huku umkimuongezea hamasa za kumfanya apende kufanya hivyo kwa kumfanyia mautundu na vishawishi vya mahaba ambavyo unaona anavifurahia na vitakavyomvuta kidogo kidogo atamani tendo hilo. Kumbuka si mautundu yote anaweza kuyafurahia, kwa mfano kuingia chumvini hakumpendezeshi kila mtu.
 
hakika wewe ni kiboko.. hembu amka asubuhi ufanyemazoezi naamini mwili utakua unachoka na hutakua na hamu tena
 
ziltan Pole ila hongera kwa uaminifu wako wengine wanatapanya ovyo mbegu zao heri ww shamba lako ni moja,huwa inatokea wakati mwingine ikiwa mwenzio ana stress na uchovu wa shughuli za kila siku inakuwa ngumu maana naona ww tangu umalize chuo iko kama hujaanza kazi bado sasa na yeye anawaza mambo mengi pengine yy ndio bread finder na kwa sasa amechukua jukumu lako (in nature)mwanaume ndiye bread finder na mke ni mlaji ila kulingana na maisha imekuwa vise-vesa .zile feelings ambazo angepaswa kuwa nazo na kukusubiria ww utoke job akupokee kwa masham-sham zimehama ..Jipeni nafasi hata kwenda nje ya mji au fukwe (beach) mbadilishe mazingira kidogo pengine itakusaidia ..sikushauri uanzishe vibanda vitakucost
 
Tatizo unaonjaonja, utakiwa kutoa dozi ya ukweli ili umalize hamu ya kesho na keshokutwa. Au mkuu ulikunywa yale mambo yetu, usije ukawa unamtesa bure dada yetu.
 
hapana it is not the matter of cost benefit analysis though watu wengi are bounded with cost ,ila mi nko hivi naturally

OK Ziltan, wewe ni mwanume wa ajabu sana, dume la mbegu na unanguvu kali za kiume.. mko wachache sana duniani! unadhani hizi sifa zitzkusaidia, kama bado ongezea na punyeto mkeo atakuona wa maana sana!
 

mwalimu
 

ni kweli npo tu home yaani ruhusa yangu bado inaendelea na mm ndio mchangiaji mkubwa ktk familia,ila niko hivi tangu awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…