Ziltan huu kwa kweli mtihani kaka.... Pole saana. Hii ni mbaya saana inapokua mmoja ni mpenzi saana wa tendo la 6/6 hali mwingine sio. Nimewasoma walochangia hapa na nimependa ushauri wa Nyumba Kubwa.. Yawezekana ni kweli haupo busy saana, na naamini kabisa huyo wifi yetu lazima ana shughuli ambazo zamchosha. Otherwise observe her routine na ujaribu walau punguza baadhi ya shughuli zake kwa kumsaidia, ili kupunguza mzigon na possibility ya uchovu zaidi - na kama kweli ukiwa nae wamtendea haki (kufika sarari) katika hilo tendo, labda kwaweza kua na hope.
Hata hivo nimefurahi kusikia tatizo lako ni kutaka kila saa tena toka kwake... Any wife/hubby (appreciative) lazima afurahi. Maana ingekua huna hamu nae..... Ingekua tatizo zaidi. Best of Luck Ziltan in solving your Issue...