Mke wangu azidiwa,

Mke wangu azidiwa,

Huyo ana lake jambo!! inawezekana wakati unasoma kuna mchizi alikuwa anachakachua so be carefull fanya mambo ya research m2 wangu.

dah! Kama ni hivyo inauma
 
mkuu we endeleza libeneke, fuata moyo ukipendacho huyo mkeo anatakiwa ajue kuwa hiyo maneno unastahili kuipata pale unapoihitaji. asipokupatia wewe uende kuipata wapi. endelea kukamua akishindwa rigwaride akwambie ili uhamishie kambi kwa wanaoweza

sawa mkuu,
 
utakufa wewe, kama dini inaruhusu nakushauri oa mwingine pengine ndo mkeo atajua umuhimu wa hiyo maneno

anajua lakini ndio hivyo anazidiwa yaani
 
Mhh! Labda UNASAIDIWA.... Jaribu kufatilia kwa karibu...
 
Aiseee that's too much,,, kama ni kila siku hapo naona shemej anamadai ya msingi ikiwezekana hata kuandamana kwa hili,, kumbuka wao wanafanywa na sisi tunawafanya so kunatofauti ya maumivu hapo,,,,imagine wewe ndio ungekuwa ni yeye na yeye akawa ni wewe bila shaka ungechoka kufanywa daily,, Fanya kumpumzisha mwana la sivyo utampoteza,

nashindwa kuvumilia
 
Hiyo frequency sidhani kuna mwanamke anaiweza. Kumbuka ana mtoto mdogo (japo hujasema ni wa umri gani) hivyo muda mwingine anahitaji kuwa karibu na mwanae kama ilivyo kwa wanawake wengi wenye watoto wadogo. Mpe uhuru kidogo na wakati huo huo jaribu kuwa busy.
 
oa mke wa pili, akishindwa oa watatu, alafu panga zamu.
 
Habari wanajamvi,
mwenzenu nina mke na mtoto mmoja yapata miaka 6 sasa,
mwanzoni tulipooana mapenzi yalikuwa moto na kila mmoja alienjoy,baadae kidogo nikawa busy na masomo (kujiendeleza privetly) hapo kidogo ikapunguza kukutana 6x6 kwan mara nyingi nlikuwa nnkirudi kitandan karibu saa 8 za usiku kwa muda wa miak karibu 3,
baada ya hapo nikachaguliwa kwenda chuoni na nashukur nimegraduate mwez jana na sasa nnko nyumban full,
kilichonileta hapa kuomba ushauri ni kwamba kwa sasa mimi huwa siwezi kabisa kulala bila kupata sex,
na hilo jambo shemeji yenu linamshinda pamoja na jitihada zote za kukaa naye kwa upendo wote ,kumwandaa kabla ya tendo ikiwemo kwenda sana uvinza, nk,
lakini haitoshi kwani huwa anaomba nimpumzishe na tukienda anawahi kuchoka japo anajitahidi hivyohivyo kunilinda lakini analalamika sana hadi namuonea huruma kwani kwa sasa anazidi kupungua mwili na sababu aliyonieleza ni hiyo ya kusex kila siku,
naomben ushauri ktk hili tafadhali.
hapo kwenye red pamenikumbusha jambo cku nilipo kutana na bnti wa kipare Sara.....mmh mmh we acha 2 hii ki2 bhana....
 
Back
Top Bottom