Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

pole sana mkuu,...ila mimi ni muuzaji wa mapanga yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee sana,.... usisite kuniungisha siku ukiyahitaji ndugu yangu πŸ™πŸ™
🀣🀣
 
Its very simple.........mke wako amenza dharau kwa sabab ya hicho kipato anayokuzidi...........FANYA UMAFIA tupa BOMU LA NYUKILIA huko alipoajiriwa .......mtafute HR wake mpige mzigo wa dola mpe maelekezo ampe termination huyo wife wako arudi home kulea FAMILIA.....then utaona HESHIMA GUNIA.....
 
Nenda kapange chumba anza maisha yako hudumia wanao tu

Maisha ndiyo haya haya
 
Mke wako anapokea sh ngapi na wewe unapokea sh ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…