Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Pole sana kamanda, ubinafsi ni sifa kuu ya wanawake wengi.

Ndio maana inashauriwa uoe wakati walau una chochote kitu, hizi mbanga za kutaka kuyajenga na mkeo huwa sio rahisi. Wenzetu kuna namna wanawaza kushindana na sio kushirikiana
 
Mi nahisi kwa hali ilipofikia kwenye taasisi ya Ndoa ambayo ipo tangu nchi haijapata uhuru...
Nafikiri kuna haja ya kuwa na ndoa za mkataba! Mnaoana kwa ajili ya interest fulani ( kuanzisha familia/kibiashara/ama vyote kwa pamoja)
Kwa masharti ya kisaidiana kimawazo/kiutendaji etc
-kwa miaka 5/10>>>
- ikiwa mmoja wenu atakiuka taratibu mlizokubaliana ama akataka kuachana kabla ya muda italazimika malipo fulani haijalishi mwanamke au mwanaume

Nahisi ikiwa hivyo pana namna mambo hayatokua mabaya sana maana hatutooana hovyo hovyo wala kuachana hovyo kisa mmepandishiana mishahara.
 
Nawe mdharau na kumpuuzia uone atakavyohangaika
 
Kuna kitu wanaume wengi bado hamjakijua kuhusu suala la haki sawa au usawa wa kijinsia. Usawa wanaoutaka wanawake sio kwa ajiri ya kutoa mchango kwenye ustawi wa familia au maendeleo ya sayansi na teknolojia.

Wanataka usawa ili wawe na uhuru wa kutembea nusu uchi, kufanya ngono na mwanaume yoyote, kurudi nyumbani muda wowote, na kuwa na uwezo wa kutunishiana msuli na mume. Usawa wanaoutaka ni uhuru wa kuishi reckless life bila kuwajibishwa.

Ndio maana wanawake kupewa nafasi kwenye elimu haijaleta ongezeko la wanasayansi au wagunduzi wa kike isipokua imeleta ongezeko la feminist na kupanda kwa rate ya talaka.

Hili ni jambo ambalo unatakiwa kulijua kabla ya kumwezesha mkeo kieleimu au kiuchumi
 
Hii Ishi nayo, niliwai sikia mhenga nikamdharau ana Experience kama miaka 35 ya ndoa yeye ana miaka 75, Badae nilikuja muelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…