Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Makosa uliyofanya
*kumpa mtaji
*kukubali aajiriwe
*kukubali ushauri wake hata kama ni mzuri namna gani hili ndo kosa kubwa sana ulilihusu mkuu.

Fanya yote lakini ushauri wa mkeo hata kama ni mzuri kiasi gani usikubali na kuufanyia kitu!
badala yake jifanye kuwa hata wewe ulikuwa unapanga hivyo au piga kimya na ufanye kimya kimya.Basi ukikubali ndo hivyo sasa anaema huna akili kisa alikushauri ukope umpe mtaji kweli ukakopa ukampa mtaji,akakushauri kopa mjenge kweli ukakopa ukajenga je mwenye akili hapo ni nani?

Mwanamke akikupa ushauri na ukaufanya basi kwao watajua, mashost zake wa kwenye vikoba watajua na michepuko yake itajua kuwa wewe kichwani hamnazo nayeye ndo remote na ukae ukijua huenda mawazo mengine unaletea yanatoka kwa wanaume wenzio sasa ukiyafuata na yakafanikiwa atakaye heshimiwa siyo wewe bali ni huyo mwanaume mwenzio nawewe utaonekana huna kitu empty set.

% kubwa mnao lialia humu ni ninyi wanaume mnao wapa uhuru hadi 90% wake zenu matokeo yake ndo hayo.

Ili ufurahie ndoa mfanye mwanamke awe tegemezi 100% ukiona huu ni ukoloni basi mpe uhuru uone rangi zake halisi

hayo maswali ya kijinga mnayo jiulizaga eti hivi nikifa mke wangu na watoto wataishi vipi?

Mimi huwa namsikiliza tu then namwambia hapohapo ushauri wako hauna tija hata kama ni mzuri jitahidi kuukosoa uonekane una madhaifu.Siku zote wanawake wanapenda kuungwa mkono na kusifiwa hivyo ukikosoa basi umekata stimu na atakuwa anasema mimi nikimshauri anaona sina akila basi nawewe akikushauri ana kuona hauna.

Dawa ni kukataa ushauri wake au kuukoseoa sana awe anasema hadi ashauliwe na marafki zake ndo anao wasikiliza mimi nilisema tufanye hivi na vile wala hakujibu kitu ila marafiki zake walipo mwambia tu akaja kufanya mara moja......hapa utakuwa umeweza.
Utakuwa na phd ya kudeal na hawa kenge.
 
Wanaume wenye wake wafanyakazi wakionjeshwa vipato vya wake zao.
IMG_20250210_110220.jpg
 
Utakuwa na phd ya kudeal na hawa kenge.
Mkuu hii nature na haipingwi mwanamke ukimpa uhuru tu kwisha habari yake....angalia hata binti ambapo kwao kuna uhuru pia angalia kijana kama kwao kuna uhuru kisha linganisha ni nani kavuka mipaka yake?

Rudi kwa wazee wetu hawakuwa wajinga kabisa kuoa mama wa nyumbani! mwanamke mfugie kuku awe busy hapo nyumbani na kuku wasizidi wakizidi mwambie hapana imekuwa kero sasa lengo ni ku limit uhuru wake.

Upande wa ushauri mimi mama mwenyewe aliwahi niambia kabisa tena kutokana na kaka alikuwa anapokea ushauri wa shemeji kama huyu jamaa. Na nimeona kwa wengi ukipokea ushauri wa mke wako hasa unaohusu uchumi wa hapo kwenu ukafanikiwa na ukaanza hata kumpongeza umejimaliza mwenyewe.Wenzetu hawana brek mkuu sisemi ushauri usiupokee hapana yaani usiupokee hapohapo na kumpongeza kisha ukaufanyia kazi in direct way hutaenda muda dharau utaiona ....
 
Nampa pole mkeo
 
Upo sahihi sana mwanawane.
Ila sasa kwa nini mkeo asiolewe wee ukifa?
 
Wanaume wenye wake wafanyakazi wakifurahia vipato vya wake zao.View attachment 3275705
Mwanamke akikununulia hata boxer 1 usidhani eti atasahau. Wewe subiri uyakanyage na izuke vulumai hapo vitatajwa vyote mbele ya halaiki ya watu na hutaweza kukumbuka kama kuna siku hukuwa na sadaka kanisani akakupa siku hiyo utakumbushwa "HATA SADAKA NILIKUWA NAMPA HUYU MWANAUME"
 
Mwanamke unatakiwa uishinae kama unaendesha gari, wakati unakanyaga mafuta(unamsaidia) lazima ujue na breki ipo wapi, mfano kama unamuanzishia biashara basi muhimili mkuu wa Ile biashara ujue upo wapi na akianza mbwembwe unaufyekelea mbali biashara inakufa anarudi home anatulia, kama ni kazi basi hakikisha hapo kibaruani unamkono wako.
 
Mwanamke akikununulia hata boxer 1 usidhani eti atasahau. Wewe subiri uyakanyage na izuke vulumai hapo vitatajwa vyote mbele ya halaiki ya watu na hutaweza kukumbuka kama kuna siku hukuwa na sadaka kanisani akakupa siku hiyo utakumbushwa "HATA SADAKA NILIKUWA NAMPA HUYU MWANAUME"
Nyieeee😆😆😆🤭
 
Back
Top Bottom