Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Mwanamke unatakiwa uishinae kama unaendesha gari, wakati unakanyaga mafuta(unamsaidia) lazima ujue na breki ipo wapi, mfano kama unamuanzishia biashara basi muhimili mkuu wa Ile biashara ujue upo wapi na akianza mbwembwe unaufyekelea mbali biashara inakufa anarudi home anatulia, kama ni kazi basi hakikisha hapo kibaruani unamkono wako.
Always keep a tyt leash au shio mwanawane. Akitaka kurupuka unamruisha line
 
Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.

Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa

Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.

Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.

Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.

Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.

Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Hata sisi kuna mwanamke mpumbavu toka apate ukuu dharau kama zote kwa watanganyika...anasema sisi ni manyani tena machogo
 
Na anafurahia maisha kuliko unavyofikri.Uhuru alionao ni wa mipaka siyo ajiendee tu hamchelewi kutupanda kichwani na majuto makuu yanarudi kwetu.

hadi hapo jamaa hana ndoa tena yeye ajiandae kwa mgao tu au afe na pressure
Mie siwezi kupewa mipaka kama wewe..hapana.
Umri wa kupewa mipaka mwisho 30..baada ya hapo tuheshimiane na kuaminiana..haipo hyo
 
Mwanamke unatakiwa uishinae kama unaendesha gari, wakati unakanyaga mafuta(unamsaidia) lazima ujue na breki ipo wapi, mfano kama unamuanzishia biashara basi muhimili mkuu wa Ile biashara ujue upo wapi na akianza mbwembwe unaufyekelea mbali biashara inakufa anarudi home anatulia, kama ni kazi basi hakikisha hapo kibaruani unamkono wako.
Mwanaume unatakiwa uwe na akili kama hizi
 
Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.

Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa

Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.

Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.

Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.

Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.

Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Hahaha huna akili
 
Pole sana mm pia yamenikuta hawa viumbe sijui wanatuchukuliaje ni waninafsi sana nilikua nampenda sana kuna vitu nilivyomfanyia nikikuambia utasema mm ni bwege lkn wapi najielewa cku hizi namuangalia tu nimeanza mawasiliano na x wangu nasubiri dogo akue kidogo tu nimteme sitaki unafiki mm
Dub haya mambo ni magumu kazingia nn?
 
Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.

Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa

Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.

Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.

Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.

Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.

Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Pole sana .
 
Mkuu hio paragraph ya mwisho nimekuonea huruma man. Pole sana mkuu. Unajua watu wanapowaponda wanawake hapa na kuwaita wabinafsi kuna wanaume huwa wanawakejeli na kuwaita kila majina ya dharau. Ila huyo unaemuona sasa ndio uhalisia wa wanawake kwa asilimia kubwa. Mwanamke unaweza kum lift up kwa kila kitu kilicho ndani ya uwezo wako, ila akifanikiwa atakuona wewe hupambani ndio maana mnalingana au anakuzidi uwezo.

Wakuu hakikisha mwanamke wako hakuzidi kiuchumi, usim lift akawnda juu kuliko wewe utakuona boya.

Anyway pole mkuu, ila komaa tu, ndio maisha
 
Back
Top Bottom