Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Pole Sana bro,huyo anasumbuliwa na ulimbukeni,akili itakuja kumrudia baadae Sana! Kama kashaanza kukudharau na kukuona hauna akili,bro hapo kubali hasara!!
Ukiona hamuelewani kabisa,kila siku anakutia hasira tu kabla hamjagawana majengo ya serikali tenganeni!! Hilo limbukeni litakutesa Sana, basi hapo linajiona Lina akiiiili jenyewe na maisha linayaweza Bila Wewe,linasahau kama jenyewe ndo limekushauri uchukue mkopo!! Usijali kuhusu chochote mwachie kila kitu nenda kaanze upya kulinda afya yako ya Akili!!
Kwa wakati huo atajiona shujaa Akili itakuja kumrudia badae sana!!!!huyo akipata mchepuko wenye hela Hakuna rangi utaacha kuona!!
 
Kwanini amwachie kila kitu?
 
Wanawake ni manyoko sana wakipataga pesa, Pole mkuu
 
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Ndugu mleta uzi kwanza useme ukweli hapa hapa.

Huu uzi umeuleta tukupe Faraja au tukupe ushauri? Naomba kwanza nijue harafu nitarudi kuendelea.
Pole kwa haya.
 
Umemshauri kiudhaifu sana. Mtu ambaye hamko connected kisaikolojia mtaishi ndani vipi?
 
Another Single Maza in Town is coming.

Sasa mbona unarudia kosa kwenda kwa Ex tena? Ambaye possibly mlishindwana?
 
Changamoto ndogo hiyo unawapa kataa ndoa point za mezani?

Mkuu tambua kuwa mwanamke akikuzidi elimu, kipato, umri ni tatizo kubwa. kwahiyo hapo chekecha akili chapu ongeza kipato chako umzidi, mwanamke asili yake ameumbwa kuwa tegemezi
Umeelewa mada kweli? Jamaa ameingia Benk amekopa kuleta Mtaji wa Familia, mara ya kwanza ukaharibika na huyo huyo, mara ya pili umetiki na Mwanamke kapata kazi.

Ilikuwa ni wakati wa kufurahia maisha pamoja. Sasa kwanini yeye ajitenge? Aanze kuona mwenzake hana akili?

Ndio maana unakuta Wanaumw wanapiga Pombe na Nyama zimejaa meza nzima. Walishagundua sometime ku hustle eti sababu ya Familia ni Hasara tu. Fanya unachoweza enjoy maisha.
 
Ewaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…