Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini usiamini, ningeweka chats ila zina mambo confidentialHizi ni Chai za jioni. Umeziona Mkuu za JF ukaamua uzitungie stori.
Atakuwa dem ya chuga hiyo🤣🤣Mhh... kwenye harakati za mwanzo alianza kuniita bro
HahahaaLazima kuna kitu unezingua hana ile mood ya kukuita majina romantic lakini pia anaogopa kukusemesha kawaida hivyo ana balance,ila hapo anakukejeli.
Nime experience hilo kwa mke wangu,nikishazingua naitwa boss
Sio mchagaAtakuwa dem ya chuga hiyo🤣🤣
Utani tu JamaniWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Angalau basi ingekua mara moja moja, now imekua mfululizoUtani tu Jamani
HahaaHuenda ni member humu tunakoitana mkuu, mi mke wangu huniita bosi
Kumbe tupo wengiWangu ndoa ina miaka 9, siku hizi ananiita Budaa au babuuu
Kuna mwana jf kashamlambaWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?