Mke wangu ghafla anaanza kuniita "Mkuu"

Mke wangu ghafla anaanza kuniita "Mkuu"

Mkuu ni neno linalotumiwa kuonesha heshima Kwa boss wako ama Kiongozi wako.

"Samahani Mkuu, ile kazi uliyonipatia nimekamilisha.."

"Mkuu ulisema ikifika saa 4 asubuhi nikukumbushe kuhusu kile kikao chako na Wadau, naona wamefika tayari.."

Ukiwa unachangia mada kwenye platform mbalimbali za JF, kwakuwa hatujuani tumezoea pia kuandika neno Mkuu, ambalo linasadifu heshima miongoni mwetu.

Nashauri Mkeo umweleze vizuri pamoja na kuwa mmekutana hapa hapa JF kisha Kuoana, mwambie mkiwa nyumbani aache kutumia hiyo Lugha, ajitahidi kujifunza kulegeza ulimi Kwa kukuita Majina mazuri mazuri ya baby, Mume, mpenzi n.k

Kila la heri kwenye maisha yenu ya ndoa
 
Mimi mke wangu namzidi zaidi ya miaka 20! Kati ya majina ya utani anayoniita ni "wee mzee, leo hunitoi out?", na mimi namuitaga "wee mdada leo umezingua, mbona hujaniamsha mapema wakati nilikuambia nawahi mishe zangu Town?"

Haya wanabodi hapo tunakosea? 😁😁😁
 
Wanabodi hii hivi iko sawa.

Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".

Je hio ni sawa au ni red flag?
Km ni wa kaskazini or amekaa huko hayo ni ya kawaida sana or wkt anakua alikaa sana na watoto wakiume kuliko wadada
 
Na wewe kama ulikuwa unamuita baby ,, honey acha anza kumuita madam ili kubalance mzani ,,, afu cheki reaction yake ,, akiendelea tafuta jina jingine baya mfano kama mkeo ni mnene anza kumuita bonge

Mke : mambo

Wewe : poa bonge niambie

Afu ,, urudi haps kwa ajili ya mrejesho
Asante,, hope it will help
 
Back
Top Bottom