Bora kakuita Mkuu hajakuita Mkuukuu 😂😂Wanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Atakua anatumia jamaii forum bila ya wewe kujua man huku Hadi wadada washazoea kuita mkuu!!Wanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Angekuita "oyaah! Niaje kichaa wangu" ungesemaje?Wanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Mimi wangu nikimtumia hella ananipigia simu ananiambia Asante boss,Hapo unapigwa mkuu. Hana hisia na wewe tena hivyo kukuita majina ya kimahaba anaona ni kama kuudanganya moyo wake
Jiandae kwa majina mengine kama:
- Kiongozi
- Boss
- Bro
- Mshkaji
- Chief
- n.k
Wanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Wakati wa mizagamuo au daily life?Mi na mke wangu tunaitana majina ya ajabu sana, halafu yananipa.sana mzuka
Basi atauona huu uzi, nikirudi home nitajua tuAtakua anatumia jamaii forum bila ya wewe kujua man huku Hadi wadada washazoea kuita mkuu!!
Wanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Mkuu niamini mimi huyo ni mwana JF kindakindaki.Wanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Km ni wa kaskazini or amekaa huko hayo ni ya kawaida sana or wkt anakua alikaa sana na watoto wakiume kuliko wadadaWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Kama ana tako kubwa unamwita Sachi!Mi na mke wangu tunaitana majina ya ajabu sana, halafu yananipa.sana mzuka