Mke wangu habebeki...


Mkuu, mimi kitendo cha kusema kwamba wazee wako upande wa waifu wake tu basi kinanijengea picha kwamba there is nothing wrong going on. Whether ni mazoea kama unavyosema wewe au ni mabadiliko ya kimtazamo yaani waifu anamtazama mume wake kwa jicho la kwamba mume wake kuwepo ughaibuni ni mafanikio na hivyo ana uhuru wa kujimwaga apendavyo (kama ninavyosema mimi). La kufanya huyu jamaa anahitajika achupe nyumbani kidogo na kuassess situation na kujieleza mpaka aeleweke kwamba huko aliko ni guantanamo bay na si paradiso kama wanavyofikiria.
 

...umeona ee?...hah...

haya mambo bana, wengine tunazungumzia reality bana sio 'alinacha'
1.8m/= haitoshi iwapo familia iliishi kwa kipato kuliko hicho...

mbaya zaidi, na hapa nakusema hadharani jamii01...unakiri kabisa kwamba bro wako
ana cover gharama nyinginezo, pia biashara zako zinasaidia kufidia mapungufu ya hapa na pale..
aisee? mnaishi maisha ya hali ya juu sana kwa kiwango cha mtanzania wa kawaida...

kubali matokeo tu,...nyie mmejiweka kwenye daraja fulani hivi ambalo ni jukumu lako sasa
ku maintain status aisee....otherwise either ndoa au masomo mojawapo litakushinda.
Sina haja tena ku clarify kwa pm lile swali langu ni muda gani sasa tangu uwe mbali na mkeo.
 
Pooole wee! mwanamke ni kama mtoto anayejifunza kutembea yan ukimpa gari ya miguu 3 ajifunzie kutembea basi ujue atataka tu kutumia gari muda wote. Ukimwacha atembee kwa miguu yake basi atatembea bila wasiwasi! WANAITWA WATU WA WHOLE WEATHER BANA! Mwanamke anaweza kuishi kwa 1000 kwa siku na anaweza kuishi kwa 100,000 kwa siku (there are flexible bana, na wapo makini sana kwenye matumizi ya pesa kama wakijua ni chache na visa versa is true)
Mi nachoona wewe ndiyo umemzoesha, labda kila akisema pesa hazitoshi unamtumia nyingine na kawaida binadamu hatosheki. Inawezekana pia haamini kabwa unapokea hizo $ 1,800 na anafikiri akiendelea kupiga vuvuzela unamwongezea nyingine. Kumwacha sio suluhisho, be a man and plya your part. Kuwa mkali maelezo ya matumizi ya pesa unazomtumia, kama akishindwa cut off remittance bana for sometimes usikilizie! Najua ATAKUA NA AKIBA YA KUTOSHA SASA, KAMA ATAKUA SIYO MFUJAJI. Naamini unaweza kumbadilisha kwa kuanza kudai mchanganuo wa fedha anazotumia kila mwezi
 

Halaf samtaim ushauri wa humu mtu inabidi uwe makini, dah! nilishtushwa sana na wimbi la washauri wanaomlaani huyo mama wallahi na kutaka kuvunja ndoa. Hapa tatizo ni ukosefu wa maelewano tu baina ya jamii01 na waifu. Ni kesi ndogo sana ila inaweza ikakua kwa kadiri ambavyo jamii01 anaendelea kukaa US na kutaka kutatua tatizo kwa simu. Pia suala lako ni la msingi sana moskwito , na mimi nalirudia. jamaa ni muda gani yuko mbali na mke wake (Angalizo: hii hali ya umbali inachosha na inawezekana mdada ameanza kuchoka na sasa anachokonoa chokonoa .............. simalizii watoto hawajalala bado)
 
Kaka unaibiwa tena unaibiwa mchana kweupe...kweli pesa ni nomaa.pole sana
 
Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila mwezi.

Mwambie ampeleke mtoto Msimbazi Centre halafu wewe hiyo pesa itume kwa ma-sister wa pale... Inaweza kumtunza mtoto wako kwa miezi minne!

Yeye mwambie afungashe virago aende kufanya UMALAYA sehemu nyingine na siyo nyumbani kwako!
 
unajua siyo kiwango cha maisha kubadilika ila ni nikuwa nilitegemea gharama za maisha zingepunguwa kwa kiasi kikubwa ila imekuwa tofauti..siwezi kusema kuwa anatoka nje au la..kama mimi ninahuwa huku sina shida ilimradi tu nisijue na hawe safe ilo ndilo la muhimu,kuna shida moja ambayo najua inampa shida hajui kupanga budget lipi la muhimu na lipi si muhimu.ndiyo maana shughuli zangu zote niacha nimekabidhi kwa Bro.wangu kwa maana naweza kurudi nikakuta na biashara imekufa kabisa..ila shida moja aliyonayo nikuwa wakienda watu wawe rafiki au ndugu atawafungia kila kitu wanachotaka mchele,unga,sukari .n.k na kama hiyo haitoshi utaona anakwenda kununua kupelewalekea jamaa zake au zangu weekend hapo ndiyo furaha yake.hilo mie pia ni shida tulikwisha gombana juu ya hilo mara nyingi ...
 

....swadaktaaaaaa.......hahahaha, ndio maana nikasema sina haja tena ya ku pm ujumbe wangu.
hata atume kiasi gani hazitomtosha, mdada anamhitaji jamii01 in person. msg sent but not delivered!
 
Yeye anafikiri kila mtu anae ishi ulaya ana hela nyingi ndo maana anakuwa haridhiki, kumbe kijana wa watu kutwa kubeba ma box na kuosha vyombo mahotelini,pole lakini, au kama vp mchukue aje aone maisha ya huko labda anaweza kubadilika,otherwise she is thinking in the box
 
tena amegraduate juzi mbichiiiiiiii muone rejao akupeleke eneo la tukio

jamii01,
sema neno,
si unaona mwenyewe mambo yalivyo.
mtoto mbichi, mtoto kaumbika,
sema usikike,
mama mwenyewe ndio mimi hapa.
 
aaah mi thread yako imenikera coz mshahara wangu ni kama dola 400 tuuuuu!!!
 
Mimi nikisikia mwanamke anamnyanyasa
mwanaume huwa najua ni mara kumi ya
mwanaume akimnyanyasa mwanamke.
All in all pole sana

You can say that again!

Jamii01! kamata mwanamke tupa kule chukua mtoto KAA NAYE! Usijitie ujinga wa kuvumilia utakuja shangaa kukuta mbavu zimeoza kwa maumivu wewe ndo washtuka!
 
 
Enyi baadhi ya wanaume wa kitanzania muishio ughaibuni, acheni ubahili au unganeni na familia zenu. Mwanaume si suruali bali kulea familia na kuitosheleza.[/QUOTE]
ni kweli. Wanaume wengi siku hizi wanadhani jukumi la kununua mke ni la hiari. Sasa kama wewe tuna familia unapata dola 1800 two thirds ya family yako utaipa dola ngapi kama si 1200? Au unadhani matumizi yako ndio ya busara zaidi? Give her some credit, pia na wewe jipe credit kwani yeye ndio wewe uliemchagua. Ila kaka saa ingine ukitaka kubana matumizi mchukue na mtoto ukae nao
 
mwondolee huo usafiri nakwambia hiyo hela itamtosha sana
 
Kabla haujaenda ulaya mlikuwa mnatumia kiasi gani kwa mwezi?
Mkeo ana elimu gani? Maana wakati mwingine elimu ndogo na kukosa exposure kunafanya watu wajue ulaya kuna kisima cha feza na mtu akienda ulaya ndo matatizo yote kwishney.
 
Dah! Pole sana. Hela siku zote huwa haitoshi labda cha kufanya ni kumfundisha namna ya kupanga budget.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…