klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
...bado hatujausikia upande wapili wa shilingi bana...mazowea yanatabu,
huyu bwana lazima alichangia kuwepo hiko kiwango kikubwa sana cha matumizi
kwa familia yake.
...msomeni mstari kwa mstari,...kamuachia mke gari, gari inahitaji mafuta, service, nk...
siku hizi mgao mnaona ulivyoshika kasi...mambo ya ku save kwa kununua kitoweo in bulk hakuna tena...
imagine hapo kuna babysitter, kuna entertainments za mtoto tena kama anasoma hizi academy ndio balaa.
maana kuna kulipia na transport pia.....acheni nyie, maisha yamekuwa tough!...
1.8m/= kwa mwezi haitoshi iwapo uliwahi kuishi kwa kipato zaidi ya hiko!
kujishusha shughuli!
Mkuu, mimi kitendo cha kusema kwamba wazee wako upande wa waifu wake tu basi kinanijengea picha kwamba there is nothing wrong going on. Whether ni mazoea kama unavyosema wewe au ni mabadiliko ya kimtazamo yaani waifu anamtazama mume wake kwa jicho la kwamba mume wake kuwepo ughaibuni ni mafanikio na hivyo ana uhuru wa kujimwaga apendavyo (kama ninavyosema mimi). La kufanya huyu jamaa anahitajika achupe nyumbani kidogo na kuassess situation na kujieleza mpaka aeleweke kwamba huko aliko ni guantanamo bay na si paradiso kama wanavyofikiria.