Mimi huwa nawashangaa pia, ila mwisho wa siku unasema kila mtu na maisha yake, hutakiwi kuumiza kichwa kwa ajili ya maisha ya mtu.
Imagine mtu uko yuko in his 40s, anaishi kwenye viapartment uchwara, hana kazi ya maana huko warehouse ingawa na Masters degree tena kwenye field yenye market bongo. Hataki kurudi Bongo kwa (kwao na kwa mkewe) vile anaogopa kuanza au watu watamcheka. This is stupidity of all the time. Kama mambo hayajawa mazuri at you 30s ungetegemee eti iko siku yatakuwa mazuri at your 40s, tena without any efforts za kujitoa kwenye hilo dimbwi la kuajiriwa. Mtu kama huyu akiibiwa mke atamlaumu nani nae anatuma dollar mia kwa mwezi?
I pray and work hard so that I retire at 45, hapa hapa bongo.