Yeah hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa. Lakini cha ajabu kuna wanawake wanafanya hayo yote sasa sijui wanafanya kwa kupenda ama wanaogopa tu kuachika.nitoke huko nimechoooka na foleni za Dar nifikie makazi? Hapana aisee nitafanya weekend.
Dada yupo na ninamsimamia vizuri ili kila kitu kiende sawa, ila kwa mama wa nyumbani ambaye kazi yake kuchat tu ashindwe kufanya kazi?
Kufanya kazi au majukumu yako kisa kuogopa kuachika ni ujinga kama ujinga mwingine.Yeah hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa. Lakini cha ajabu kuna wanawake wanafanya hayo yote sasa sijui wanafanya kwa kupenda ama wanaogopa tu kuachika.
Yeah hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa. Lakini cha ajabu kuna wanawake wanafanya hayo yote sasa sijui wanafanya kwa kupenda ama wanaogopa tu kuachika.
Kwahiyo mkuu unataka mwanamke amsaidie mume majukumu yake halafu pia yeye afanye majukumu yake peke yake hata kama amechoka? Hivi unajua tofauti kati ya kiongozi na msaidizi?Kufanya kazi au majukumu yako kisa kuogopa kuachika ni ujinga kama ujinga mwingine.
Mwanamke tena haswa mama kazi ni nyumbani na malezi ya watoto ni jukumu lako hata uwe umechoka vp
Sure MkuuAnarudi kachoka na anapambana na kazi za home? May be wana hizo nguvu Mkuu!!
Binafsi Kikubwa kila kitu kiende sawa nyumbani home work zimefanyika, watoto wapo salama na wamepata mahitaji yote ya siku na nyumba ipo safi hata kama itabidi uweke wadada wawili basi weka.
Eti mpaka gorigota[emoji23][emoji23][emoji119]Kukosea KUOA na bado msalaba wako huo mpaka gorigota[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akipanda cheo kuwa Bi Mkubwa itapendezaHabari wana JF!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja….hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika HAPANA.
Nikimwambia kwanini hapiki anadai sijaenda sokoni kununua vitu (asa nawaza si yeye ni jukumu lake kwenda sokoni) maana pesa za biashara tunazofanya ni yeye anashika kwahyo sio kwamba haendi kwasababu hana pesa.
Kuhusu watoto ndio kabisa hawalishi wala hawaogeshi, na watoto ni wadogo chini ya miaka 5. Yaani watoto wasipojipambania wenyewe kula ndio basi hawali.
Kuna saa nakasirika kinoma lakini nakosa namna. NIFANYEJE
kuna siku wife alikuwa kanikosea akaleta habari kama hizo akaniomba nauli aende kwao, nikampa nikamwambia asiniombe nauli ya kurudi, aliishia kuifanya ya matumizi ya nyumbani tangu siku ile sijawahi kusikia anarudia kusema hivyoSasa mkuu kila tukizozana na nikimkoromea huwa yeye ndio anakuwa wa kwanza kusema kama naona hafanyi Mother-duty eti nimrudishe kwao akafunzwe tena. Hilo suala nikilifikiria naona kama najidhalilisha kwa upande mwingine kuwa wataona kuwa nimeshindwa kumcontrol mtoto wao….kiundani Watanicheka flani
Kwahiyo mkuu unataka mwanamke amsaidie mume majukumu yake halafu pia yeye afanye majukumu yake peke yake hata kama amechoka? Hivi unajua tofauti kati ya kiongozi na msaidizi?
Unaweza kuta huyu jamaa alimbambikia ujauzito ambao sio wake maana wanaume bwana, anakwenda kubeba mimba ya wanawake wengine anakuja kumuwekea mke anabeba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu aende labour mara 2 asilishe watoto wake wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mkuu lazima kuna mahala uliteleza pia
Usiolewe basi uishi mwenyewe kisela halafu tuone huo uzee kama hautakuja maana ndoa ndizo zinazeesha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu wabinafsi jamani matokeo yake mtu unazeeka unachakaa!! Mmetoka wote kazini ufike kuanze kazi za nyumbani Mume anakaa kwenye TV au analala chumbani.
Usiolewe basi uishi mwenyewe kisela halafu tuone huo uzee kama hautakuja maana ndoa ndizo zinazeesha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wengi wa kiafrika Wabinafsi mnokuna watu wabinafsi jamani matokeo yake mtu unazeeka unachakaa!! Mmetoka wote kazini ufike kuanze kazi za nyumbani Mume anakaa kwenye TV au analala chumbani.
Kwahiyo wewe unaona ni sawa mke Akusaidie majukumu yako halafu wewe usimsaidie ya kwakeUsiolewe basi uishi mwenyewe kisela halafu tuone huo uzee kama hautakuja maana ndoa ndizo zinazeesha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona sasa namna unaongea ni kama mtu ambaye hajatoka kwa wazazi wake?!nipo kwenye Ndoa mwaka 7 huu namshukuru Mungu ni ndoa yenye furaha, amani na Upendo tele.
Ndoa zenye kutumikishana zinazeesha Mkuu
Sasa ubinafsi ni kukutaka ufanye majukumu yako ya kike ndio nakuwa mbinafsi. Khaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wengi wa kiafrika Wabinafsi mno