Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Pole mkuu
Kabla ya ndoa kunakuchunguzana tabia kwanza halafu inafatia ndoa
Mkuu kwenu ilikuwaje au ulikubaliana na hiyo hali yake ya uvivu ukajua labda mkiingia kwenye ndoa atajirekebisha nakupa pole tena kwa mara ya pili huyo sio mvivu tu mpaka uchafu anao watoto pia masikini hawaogeshwi