Mbona sasa namna unaongea ni kama mtu ambaye hajatoka kwa wazazi wake?!
Coz kuna lugha ungetumia hapo ungewakilisha vema sana wanawake waliopo katika ndoa na wanaijua vema.
Ila wapo wastaarabu wanajua mke wangu kachoka nae anatakiwa apumzike, Mungu atutunzie kwa kweli Wanaume wa hivi.Wanaume wengi wa kiafrika Wabinafsi mno
Majukumu gani ya kiume ambayo wanaume wanataka mwanamke asaidie na ni wapi na lini wanaume wameweka kampeni ya kuomba kusaidiwa?!Kwahiyo wewe unaona ni sawa mke Akusaidie majukumu yako halafu wewe usimsaidie ya kwake
Hamna bwana. Hapo ni unatafuta kulazimisha kujenga hoja kwa nguvu ya ubishani ila unajua hoja yako ndani yake ni hoja yenye maudhui ya kutest mitambo....Mkuu nimeongea vyema kabisa kama wewe unaona sio vyema ni juu yako sasa, mimi siwajibiki kwenye hilo.
Toka juu nimemshangaa mtoa mada na kutoa ushauri wangu ninaona unafaa, kama wewe unaona comment zangu hazipo kwenye Lugha nzuri hiyo ni wewe.
Hamna bwana. Hapo ni unatafuta kulazimisha kujenga hoja kwa nguvu ya ubishani ila unajua hoja yako ndani yake ni hoja yenye maudhui ya kutest mitambo....
Ngoja nikwambie , mleta mada kama umemuelewa, amelenga kulalamika nini kumhusu mkewe?!
Kuchoka ni swala moja hata sisi wanaume kuna muda tunachoka. Ila issue ni kukwepa majukumu yako kwa kisingizio cha kuchoka, unachoka na nini sasa kinachokukeep busy , so wewe katika maisha yako nini muhimu zaidi familia yako au mwili wako kujilaza na kuchoka?!Ila wapo wastaarabu wanajua mke wangu kachoka nae anatakiwa apumzike, Mungu atutunzie kwa kweli Wanaume wa hivi.
Mkuu haujanielewa! Hapa naongelea wale wanawake ambao mnatoka wote asubuhi kwenda kutafuta mkate wa kila siku na mnarudi jioni halafu mwenzio aingie kufanya kazi za ndani peke yake ili hali wewe umekaa sebuleni miguu juu humsaidii!Sasa ubinafsi ni kukutaka ufanye majukumu yako ya kike ndio nakuwa mbinafsi.... Khaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]...
Amen KwakweliIla wapo wastaarabu wanajua mke wangu kachoka nae anatakiwa apumzike, Mungu atutunzie kwa kweli Wanaume wa hivi.
Hehe kwamba mnajifanya hampendi wanawake zenu wanavyotoka kwenda kutafuta pesa either kwa kufanya kazi au biashara? Si ndiyo ninyi wanaume wa siku hizi mnaosema hampendi wanawake magolikipa dunia imeshabadilika wanawake nao inabidi watoke kujitafutia vya kwao na watoto wakati hilo kwa tamaduni zetu ni jukumu la mwanaume tu?Majukumu gani ya kiume ambayo wanaume wanataka mwanamke asaidie na ni wapi na lini wanaume wameweka kampeni ya kuomba kusaidiwa?..
Oohh kwahiyo mkeo akiacha kazi akawa mama wa nyumbani full time utamhudumia kwa kila kitu bila kumtesa na utampa kama kile ambacho alikuwa anakipata huko kwenye kazi au biashara yake?Kuchoka ni swala moja hata sisi wanaume kuna muda tunachoka. Ila issue ni kukwepa majukumu yako kwa kisingizio cha kuchoka, unachoka na nini sasa kinachokukeep busy...
Mkuu, nguruwe wanaendeleaje huko kwenye kibarua chako?Ongeza house girl, maana huyo uliyenaye ni house girl mvivu.
hahah, haya bwana.Mkuu, nguruwe wanaendeleaje huko kwenye kibarua chako?
Mtoto wako mwenyewe unaweza kumhudumia kwa kadri ya mahitaji yake? Bila kujali kama mahitaji yatamspoil nk? Hapo ni maswali mawili, la kwanza jibu likiwa ni NDIO basi ndio ujibu na la piliOohh kwahiyo mkeo akiacha kazi akawa mama wa nyumbani full time utamhudumia kwa kila kitu bila kumtesa na utampa kama kile ambacho alikuwa anakipata huko kwenye kazi au biashara yake?
Hakuna kusema eti utamhudumia kwa kadri ya uwezo wako mhudumie kwa kadri ya mahitaji yake utaweza?
Mkeo anafanya kazi gani? Amesoma? Je, anatoka familia yenye uchumi gani?Habari wana JF!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika HAPANA.
Nikimwambia kwanini hapiki anadai sijaenda sokoni kununua vitu (asa nawaza si yeye ni jukumu lake kwenda sokoni) maana pesa za biashara tunazofanya ni yeye anashika kwahiyo sio kwamba haendi kwasababu hana pesa.
Kuhusu watoto ndio kabisa hawalishi wala hawaogeshi, na watoto ni wadogo chini ya miaka 5. Yaani watoto wasipojipambania wenyewe kula ndio basi hawali.
Kuna saa nakasirika kinoma lakini nakosa namna. NIFANYEJE
Mkuu mtoto hana uwezo wa kujitafutia pesa zake mwenyewe! Mwanamke anao uwezo wa kujitafutia sasa unapomkataza asitafute ili eti atimize majukumu yake kikamilifu basi na wewe uhakikishe unao uwezo wa kutimiza majukumu yako kikamilifu!Mtoto wako mwenyewe unaweza kumhudumia kwa kadri ya mahitaji yake? Bila kujali kama mahitaji yatamspoil nk? Hapo ni maswali mawili, la kwanza jibu likiwa ni NDIO basi ndio ujibu na la pili