Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Inawezekana unasema hivi kwa sababu umelea/unalea watoto wa ndugu zako mfano wa kaka yako,dada zako,wa Shangazi,wa mjomba au hata wadogo zako..
Au watoto baki yatima wasiojiweza.


Subiri mumeo akuletee mtoto aliyezaa nje umlee uone kama ni rahisi.
Kwan hapa uzi unaongelea kuleta baada au kabla?
 
Tema mate chini, hujavuka mto, hivi fikria huyo unajifanya mnapendana mkaachana akaja mwanamke mwingine akawa ananyanyapaa wanao utajisikiaje?
Huwezi jua mama wa huyo mtoto alifariki au laa.
 
Tema mate chini, hujavuka mto, hivi fikria huyo unajifanya mnapendana mkaachana akaja mwanamke mwingine akawa ananyanyapaa wanao utajisikiaje?
Huwezi jua mama wa huyo mtoto alifariki au laa.
It's not a matter of kutema mate chini au juu Mimi nitalea wanangu nikiwa hai mwenyewe sihitaji booster na mwanaume, Niko hai, nimtese mwanamke mwenzangu anisaidie huo ni uzembe wallah, tuache kuzaa bila mipango na kuwatwisha wengine misalaba hasa Sasa hivi watu wanajizalia tu wakitegemea msaada tusisingizie vifo vipo tu tumeumbiwa
 
Nyie mngekuwa na roho nzuri na upendo kwa huyo mtoto basi msingeachana ili mumlee ipasavyo. Sasa kama nyie kawashinda kulea kwa upendo, ni vipi unataka mwingine amlee kwa upendo?
Maelezo mazuri Yao yamewashinda hafu laana wamwangushia mtu mwingine it's not fair
 
Wao wanataka waharibu mambo Wao halafu wambebeshe lawama mwingine.
Ni kweli tuache unafiki hivi mtu unazaa huko mnashindwana kulea mtoto wenu mliomleta then mna force mtoto apendwe kilazima na huyo mama ambaye hajamzaa ka si uwendawazimu ni kitu gani hicho jamani?
Waliomleta wamemsusa mtoto ambaye hajashiriki starehe Yao analaumiwa ati?
 
Wanakera sana hii zaa za hovyo kisa mtu yuko vizuri kiuchumi wanatega mimba na ulezi wala hawajui hafu eti mtu aniletee toto lake nilee kwa starehe zake Ili apate child support dhubutu yake kila mtu alelee mtoto wake aliyemleta kwa starehe zake.
Imagine umekutana na mtu u enjoy mapenzi mtu anategesha mimba, au anaanza kuleta mambo ya watoto wake yanahusu nini?
Kwasasa jinsi watu wanazaa tu bila kujali ustawi wa mtoto acha mambo wa kambo tuwe tu na roho mbaya kwa kweli
 
Tutawanyasa wote kuanzia wewe baba na huyo mwanao kwanini nipate shida kwa yasiyo nihusu jamani, Mimi mtoto wako anihusu mpeleke kwa mama ake huyo Kuni force kulea siwezi nilikutana na wewe na sio huyo mtoto wako wewe kutaneni huko na mamake mtajiju sio kunichosha Mimi maana hata akikaa nyumbani sihangaiki naye na siwezi devote love yangu [emoji817] ka wa kwangu wakuzaa why niishi naye
 
Mkuu tukuhukumu au tukuache na uhuru wa mawazo yako..
InFact muhimu ni mtoto alelewe malezi ambayo ataona hakuna upungufu wowote au manyanyaso,,, sio lazima ampende sana ila ampe treatment sawa na watoto wake inatosha,
Hyo treatment mungetakiwa mumpe nyie mliozaa wawili na sio kutegemea mtu baki eti apende starehe zake na kuzihudumia never on earth, eti atleast umpe treatment fair nyie mliozaa mulishindwa nini why mu expect kwa wengine kutoa hizo treatment
 
Nani achome pasi mtoto aliyezaliwa kwa bahati mbaya hafu why mnajificha na kusema eti watoto wote wamefiwa lazima walelewe simuwapeleke ophanage centre huku mitaani watu wanazaa Wala hawajafiwa na wanaonekana na wanataka wasaidiwe kulea watoto kilazima, ka hyo ni roho mbaya basi Mimi namzidi shetani
 
Mimi mwenyewe moyo mzito mno kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu Yani ni ngumu mno labda nirogwe lakini kwa hizi akili zangu Big No.
 
Sio tu kujihami hao watoto husumbua sana mwanaume akifa so mama kuwa makini na kuandaa mazingira wa wanako uliowabeba mimba kwa kuwawekea mambo vizuri huyo wa nje atakuja kupambana hewa na mamake
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
kuna moja hapa jirani Dar alimwekea mwekea mtoto sumu kwenye chai ,baadaye hospital ikaonekana chai ndo Ina sumu lakini imekwaje wakwake hajafa wakati wote aliwahudumia pamoja mezani
 
Yan umemuoa akijua kabisa kuwa una mtoto alaf bado anamchukia tena? Kwa ustawi wa mtoto wako achana na huyo mwanamke au watenganishe
Mnachukuliaga rahisi sana kuachana na mke/mume wanapotofautiana kidogo tu!
 
Unajua kupenda mtoto wa mtu ni moyo wa kuzaliwa nao sio amri ya mume/mke? Unajua mtoto asiye wako utamtreat kawaida kabisa kama wako lakini haridhiki, na sa zingine hata baba wa mtoto haridhiki, unaweza kuadhibu mtoto kawaida baba akaona umenyanyasa, aaghhrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…