Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Na likija swala la kupenda watoto wa masingo maza ukomentigi hivi hivi.
 
Duh...hii kaunta atak si mchezo..umepiga kwenye mshono
 
Cariha atangazwe kama adui wa taifa.

Inaonekana ana roho mbaya kama goti la nzi,

Ana mawazo machafu kama mavi ya mjusi na

Ana matendo yasiyofaa kawa nyongo ya mamba.

Huyu ni adui wa taifa.
 
Duuuuh cariha u are something else,, some sort of a little monster
Mm na c* tumelelewa na our step father,, from the time she was 13 and i was 9,,,

i was a disgusting little creature,,, f*ckng crazy, a rebel, i was a pinch away to be neglected by the community,, remember i was fckn 9,,

but NEVER hajawah nichukia he did everything he could so niwe kwa mstari,,, kuna muda he sold his work PC just for hospital bills for my sister na hyo ni mwaka 2009 na hakuw biological daughter

Sikuwah kupendwa na yeyote kwa jamii
nimelala polisi mara ya kwanza akaja kunibail yeye mwenyew,, we are not his biological kids,, but you won't know that hata ukae na familia yetu for 1000 years,,maybe tukwambie sisi

Mm sio biological son wake but i walk, talk like him even a sarcastic smile yake,, hajwah nichukia, hawz kukubali ukimuuliza but everyone in the family knows kuwa i am his favorite son

Wewe na hata yako kwa mtoto asiye wako ni chuki na haiko verified with any reason utatoa,, hata kama unaweza kujifungua huwezi kuwa Mom,, wewe ni mother


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu manzi ni mbinafsi , mchoyo anaroho mbaya usipime na anajiona yupo sawa tu
 
Mm nahic kulea watoto wawe wako au sio wako hususan wa mwenza wako inahitaj busara na kujitoa kama watoto wako sabb unapowaonyesha upendo nawenyew watakupenda na utawatengenezea hali ya kujiamn tofaut na kuwanyanyasa unawap hofu ndio wengin hukimbia makwao na kuanza kuwa ombaomba
 
Mwanamke ambaye anaweza kuchukia wazazi wako walio kuzaa kweli unafikiri anaweza kumpenda mtoto uliyezaa nje ya ndoa? wewe una shida kabisa....wewe utakuwa uongelei wanawake wewe hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh pole sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hela zako na kula na mtoto sihangaiki naye na huna chakufanya nilikutuma ukojoe hovyo Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…