Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Cariha atangazwe kama adui wa taifa.

Inaonekana ana roho mbaya kama goti la nzi,

Ana mawazo machafu kama mavi ya mjusi na

Ana matendo yasiyofaa kawa nyongo ya mamba.

Huyu ni adui wa taifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana lol
 
Hawezi kuwa mama huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza kuwa mama ila kwa watoto wake nasio kwa wengine mioyo tumetofautiana wengin wanahuruma na wengine huruma hawana hivyo tuvumiliane tu
Brother ili uwe mama,, huruma yko inatakiwa isiwe ya upande mmoja tu,
Bi mkubwa wangu anapigwa mtt wa jirani vle mtt anavyolia bi mkubwa anakwambia anahs kama vle tumbo lnauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu manzi ni mbinafsi , mchoyo anaroho mbaya usipime na anajiona yupo sawa tu
Nyoko zenu nyie mnazaa huko mnashindwana zenu mtoto unampa lawama mtu mwingine ndio aliwatuma mpanue miguu kweli Yani nyie mzae huko kwa starehe zenu na ubinafsi mumeshindwa kuelewana huko then una force mama wengine wampemde nyie ka mnashindwa na ni damu yenu why blame other women's. Damu yenu nyie mumeshindwa ku raise mwanenu are you guy's mad?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hadi unalala police ulikuwa una matatizo wewe na umeshindikana never blame anyone in this worldeand you will a free soul with happiness, don't expect other people to give you happinyif your own blood and flesh failed to give it to you,

And if you didn't get anything accept it as a challenge and move we are born different and I hate laziness behavior and people failing to be responsible for their actions tena inapokuja swala la innocent and poor child involved I think government inahitaji kuja na sheria Kali kulinda Hawa poor and innocent kids sio kuzaa tu ukitegemea ulelewe mtoto.

N. B mtaniita majina yote mabaya na roho kutu msimamo wangu uko palepale kwanini starehe zenu zitese wengine Kwa lack of self control mnaleta kiumbe kwa tabia zenu mbovu then mna force mtu aingie gharama unnecessary za ulezi why?
 
Cariha atangazwe kama adui wa taifa.

Inaonekana ana roho mbaya kama goti la nzi,

Ana mawazo machafu kama mavi ya mjusi na

Ana matendo yasiyofaa kawa nyongo ya mamba.

Huyu ni adui wa taifa.
[emoji23][emoji23][emoji23] wajinga ni wale wanaozaa mtoto then hawataki kumlea mikojo Yao ya starehe na ku Force mama wa wengine awasaidie kulea watoto, kwanini huyo mama aliwatuma mzae, hata huyo mtoto hakuomba mumazae mje kumtesa na kumyumbisha kilikuwa kiherehere chenu tu wawili then why ulaani wanawake wengine, nyie wenyewe mliokutanisha vikojoleo lawashinda kwanini mtu baki ambaye hajamubeba tumboni awe na uchungu naye.
[emoji23][emoji23] Nitapinga siku zote hii tabia za kuzaa hovyo na kuja kutesa watoto kupata malezi na watu baki Nitapinga Jana, Leo, kesho na keshokutwa
 
Na likija swala la kupenda watoto wa masingo maza ukomentigi hivi hivi.
Hata ma single Maza mbona tu mkali Mimi napinga hii tabia chafu iliyo zuka ya watu kuzaa hovyo na kutesa watoto wasio na hatia naonaga jinsi watoto wasio na furaha shuleni kuishi na wazazi wasio wao ina umiza sana, Nitapinga hii kitu kwa nguvu, tuache kutesa watoto kwA umalaya wetu.
 
That's why nmekwambia i was #disgusting# little creature,, AND ALINIPENDA NA SIO KUNICHUKIA

I was a lost soul HAKUWA MBINAFSI KAMA WW HE DID COME FOR ME haikuwa sababu ya yy kunichukia kama ideology yako ilivyo

Sijablame maybe umesoma vibaya but morally your ideology are doomed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmeeleza how a parent should be,,,

Unazungumzia responsibility ambayo hata ww huna,, he's your freaking husband yeye na mtt wake are your responsibility

Hating a kid,, ndo kuwa responsible eti ehhhhh,,,yaaan mtt anakosa connectivity na ndugu wengine wa mama ake mzazi,, unaona hlo halitoshi unaongeza kumchukia tena [emoji2961][emoji2961][emoji2961] disgusting

Tunabeba hata mizigo isiyokuwa yetu hyo ni kuwa morally right ,, hata upinge aje right will always be right

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana unafiki ni roho nyeusi imemjaa tu,sasa mtoto usiyemzaa wewe ukimlea ipasavyo unapungukiwa na nini?
Wengine humu wanashauri eti kumpeleka mtoto akalelewe na bibi,huku ni sawa na kumtupa mtoto.

Upungukiwi kitu kulea mtoto usiemzaa,KUMBUKA UKIFA LEO WATOTO WAKO WATAFANYIWA KAMA ULIVYOWAFANYIA WATOTO WA WENZAKO
 
Mtoto mdogo unawezaje kusema hapendeki?

We una liroho chafu tu kama la jini subiani! Usisingizie eti mtoto hapendeki.

Katoto kadogo unawezaje kusema hakapendeki?

Are you chizi?
Kama utashindwa kumpenda mtoto mdogo utawezaje kumpenda mtu mzima!?

Mtoto atumike pia kujua upendo halisi wa mumeo au mkeo kwako wewe.

Mwenye upendo wa kweli na wewe atampenda mwanao,huyo asiempenda mtoto wako ujue kuwa kafuata mali zako na mwanao ndio kikwazo kwake...FUKUZA HUYO ATAKUUA WEWE NA MWANAO!
 
Mahakamani duniani kote ushahidi wa watoto ndio upewa kipaumbele,watoto kwa asilimia 90 wanayosema uwa ni kweli kwa sababu kisaikolojia mtoto hana uwezo wa kutunga kitu kipya kikaleta maana.

Ivyo napingana na wewe kuwa watt wanasema uongo,labda asikumbuke vizuri lakini watoto ni malaika wasema kweli
 
Kama mama yake yupo mpeleke kwa mama yake
Au kwa bibi zake
Sio wote wanaweza kupenda watoto ambao hawajawazaa
Kumpeleka wako mtt kwa bibi yake kwa sababu ya mpenzi wako mpya ni usaliti kwa mtoto na ni ushetani,ukatili na ushamba.

Asieweza kumlea mwanao ambae ni mtoto asie na hatia huyo hakupendi maana kama anashindwa kumpenda mtoto mdogo malaika asie na hatia anawezaje kukupenda wewe mtu mzima?

Kipimo cha mapenzi ya mkeo au mumeo ni kwa yeye kumpenda mwanao ambae ni sehemu yako ya mwili na roho,asipompenda mwanao huyo mpenzi hakufai na kafuata mali tu na anaona mwanao ni kikwazo...fukuza huyo mkeo au mumeo hakufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…