Mke wangu hapati ujauzito baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango!

Mke wangu hapati ujauzito baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango!

bora vidonge sindano ndo haifai kabisa inachukua hadi mwaka na nusu na kwa mwanamke ambae hajazaa haishauriwi kutumia sindano
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kuwa makini kuna wengine wanataka kupata raha na siyo msaada
 
Hivyo vidonge alivitumia kwa muda gani?

Njia za uzazi wa mpango kuna za muda mfupi na za muda mrefu. Endapo utatumia vidonge(njia ya mda mfupi) kwa muda mrefu kuna madhara makubwa sana kama hayo ni vyema mngeenda hospital kwa ushauri zaidi.
Ameanza kutumia muda mrefu sana ingawa si kwa mfululizo, kuna kipindi alikuwa anaacha hasa kipindi ambacho nilikuwa masomoni, asante kwa ushauri!
 
Ana umri gani?alitumia kwa muda gani?Ila usikate tamaa naona mwili bado unajirudisha kwenye hali ya kutotumia majira.
Above 30 yrs, ametumia kwa muda mrefu sana ingawa si kwa mfululizo, asante kwa ushauri!
 
Mkuu hawezi kushika mimba mke wako tena kwa jinsi alivyo tumia dawa za hospitali kwani ameharibu mayai yake ya uzazi mimi ninayo dawa ya kuweza kumfanya mke wako aweze kushika mimba ukitaka nitafute kwa wakati wako Dawaninayo ya asili sio dawa za kizungu.Ukiwa na shida na mimi
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Nashukuru kwa maelezo yako marefu kuhusu vidonge hivyo ambayo umenukuu kutoka fikra pevu, maelezo hayo yameniongezea kitu cha ziada.

Maelezo haya niliyonukuu yanakatisha tamaa mkuu, endapo hali itaendelea hivi nitakutafuta kwani kiu yangu ni kuongeza familia mapema maana mke wangu ni above 30yrs.
 
Hao wawili wanatosha, endelea kula uroda kwa raha zako !!
Malengo yangu ni kuwa na watoto wanne mkuu, kumbuka lengo la tendo la ndoa ni kwa ajili ya kupata mtoto, haya mengine tumeanzisha wenyewe na wala si mpango wa Mungu.
 
Above 30 yrs, ametumia kwa muda mrefu sana ingawa si kwa mfululizo, asante kwa ushauri!
Endeleeni kutafuta,pia inashauriwa ukiacha kutumia majira na unataka mtoto,inatakiwa utumie folic acid walau miezi mitatu,mwambie aanze kutumia folic acid huku mkitafuta mtoto,mimba itatinga tu.
 
Endeleeni kutafuta,pia inashauriwa ukiacha kutumia majira na unataka mtoto,inatakiwa utumie folic acid walau miezi mitatu,mwambie aanze kutumia folic acid huku mkitafuta mtoto,mimba itatinga tu.
Asante!
 
Mpeleke kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wako wengi sana tatizo lake litatatuliwa
We usihofu vidonge hivyo huwa vina matatizo Fulani kwa wanawake wanaovitimia
 
Mkuu achana na mataperi wa humu mtandaoni wanakuambia hatoshika mimba mkeo,,,,cha msingi vuta subira,,me ilinitokea kwa wife,,,ilichukua almost miezi kumi au mwaka,,baadae Ikawa okay kitu na box,,,,achana na wanaokuambia sijui uwafuate inbox wakupe dawa,,wote wasanii Hao na mataperi wakubwa ,,,labda nenda kwa specialist anaweza akakupa vidonge tu vya kusaidia kutoa sumu
 
Endeleeni kutafuta,pia inashauriwa ukiacha kutumia majira na unataka mtoto,inatakiwa utumie folic acid walau miezi mitatu,mwambie aanze kutumia folic acid huku mkitafuta mtoto,mimba itatinga tu.
Samahani Binti..hiyo hivyo kumtafuta mtoto wanantafutaje vile.......!!?
 
Back
Top Bottom