Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameanza kutumia muda mrefu sana ingawa si kwa mfululizo, kuna kipindi alikuwa anaacha hasa kipindi ambacho nilikuwa masomoni, asante kwa ushauri!Hivyo vidonge alivitumia kwa muda gani?
Njia za uzazi wa mpango kuna za muda mfupi na za muda mrefu. Endapo utatumia vidonge(njia ya mda mfupi) kwa muda mrefu kuna madhara makubwa sana kama hayo ni vyema mngeenda hospital kwa ushauri zaidi.
Nashukuru kwa maelezo yako marefu kuhusu vidonge hivyo ambayo umenukuu kutoka fikra pevu, maelezo hayo yameniongezea kitu cha ziada.Mkuu hawezi kushika mimba mke wako tena kwa jinsi alivyo tumia dawa za hospitali kwani ameharibu mayai yake ya uzazi mimi ninayo dawa ya kuweza kumfanya mke wako aweze kushika mimba ukitaka nitafute kwa wakati wako Dawaninayo ya asili sio dawa za kizungu.Ukiwa na shida na mimi
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Endeleeni kutafuta,pia inashauriwa ukiacha kutumia majira na unataka mtoto,inatakiwa utumie folic acid walau miezi mitatu,mwambie aanze kutumia folic acid huku mkitafuta mtoto,mimba itatinga tu.Above 30 yrs, ametumia kwa muda mrefu sana ingawa si kwa mfululizo, asante kwa ushauri!
Samahani Binti..hiyo hivyo kumtafuta mtoto wanantafutaje vile.......!!?Endeleeni kutafuta,pia inashauriwa ukiacha kutumia majira na unataka mtoto,inatakiwa utumie folic acid walau miezi mitatu,mwambie aanze kutumia folic acid huku mkitafuta mtoto,mimba itatinga tu.
Kufanya tendo la ndoa,pia atoe stress.Samahani Binti..hiyo hivyo kumtafuta mtoto wanantafutaje vile.......!!?