Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

Mods,
Ni wakati sasa ùmèfika kuwe na section ya watoto na vijana wadogo(mtawatambua kwa mada zao).
Mada zao zote ziwekwe huko na zifungiwe kama ilivyokuwa kwa JUKWAA LA WAKUBWA mwenye kutaka kuzisoma aombe kibalii.

Utoto umeshamiri sana.
 
Au kuwe na jukwaa la kutupia nyuzi zinazo kosa mantiki, ama za kitoto, ama za masiara yaliyo zidi.
Liwe kama trash forum
 
Back
Top Bottom