Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

Mods,
Ni wakati sasa ùmèfika kuwe na section ya watoto na vijana wadogo(mtawatambua kwa mada zao).
Mada zao zote ziwekwe huko na zifungiwe kama ilivyokuwa kwa JUKWAA LA WAKUBWA mwenye kutaka kuzisoma aombe kibalii.

Utoto umeshamiri sana.
Kwani jukwaa la wakubwa limerudi?
 
Mkeo ana Mimba Mkuu wakiwaga na mimba wana visa sana tafuta shuka lako akiwashwa ataingia mwenyewe kwenye shuka lako
 
Sasa maana ya kuwa mwili... 1 Iko wapi? Mwambie aache hiyo tabia ohoooo
 
Back
Top Bottom