Utakua unanukaWakuu
Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi.
Nifanyaje?
Si nilichanganya ID bwana😂😂 ndo mpk modz wakajua... Nahisi maombi yake yalijibiwa. Ila ufeki feki ndo haunifai kabisa sirudii tenaKvp ulichanganya mafile?
Huyo ni mchafuUmejichunguza kama hauna tatizo la kujamba hovyo mkijifunika pamoja?Anzia hapo.
Na I'd ipi hy ulijichanganya nayo 😎Si nilichanganya ID bwana😂😂 ndo mpk modz wakajua... Nahisi maombi yake yalijibiwa. Ila ufeki feki ndo haunifai kabisa sirudii tena
Unajua mkasa mzima usijizime dataNa I'd ipi hy ulijichanganya nayo 😎
Joto mkuuWakuu
Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi.
Nifanyaje?
inaweza kua kuna kitu umemuudhi, na vipi kuhusu haki ya ndoa ilikua kama kawa au nako magumashi...?Wakuu
Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi.
Nifanyaje?
Punguza kujamba mnapokuwa mmejifunikaWakuu
Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi.
Nifanyaje?
ili waweze kukumbatiana vizuri au?LOWEKA MAJI SHUKA ZOTE IBAKI MOJA
Mashoga wengiSiku hizi JF ina vi case vya ajabu...mara mwingine mke wangu hataki nimchungulie utupu wake...mara mwingine mke wangu hataki nimwangalie mwili wake akitoka kuoga..
Sasa wewe ndo mwenye mke sie mbona kutupa mzigo...
1:Unapiga povu kabla ya kulala (Kuoga)?Wakuu
Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi.
Nifanyaje?
Tunaitafuta Jojo na pipi kufua na tangawizi,unatuone Bure!Uwe unaoga na kupiga mswaki.... Unajua nyie wavuta sigara midomo yenu inatema kama chemba
Watu wazima wa 30+Mna umri gani?
Sipigi fegi mzee wangu?Uwe unaoga na kupiga mswaki.... Unajua nyie wavuta sigara midomo yenu inatema kama chemba
Mara moja naachia mabomu,hata yeye huwa anaachia mbona?Umejichunguza kama hauna tatizo la kujamba hovyo mkijifunika pamoja?Anzia hapo.
Uache kula maharage usikuWakuu
Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi.
Nifanyaje?
utakuwa unajamba sana ushuzi wenye harufuWakuu
Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi.
Nifanyaje?