Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Nakushauri badili tabia yako. Pindi inapotokea mabishano naye, Uachane na mambo ya kuji-control sijui nini ... Uwe unambwatukia hata mbele za watu. Usitazame watu watawaza nini. Be a daring dude.
The good news watu wazima sikuzote ni waelewa, watafanya kama hawaoni. Ila mke atajifunza na atakua akijipunguza taratibu ili asiaibike kuumbuliwa mbele za watu tena.
Kama wewe ni mtu wa kugawa knucklez, nakusihi sana please, usiufanye mkono wako kua mzito.n utumie pale ikibidi.

(Ila usithubutu kama humwezi[emoji2] )

Hope Hii itakusaidia kuchimbua siri ya mtungi. Otherways habadiliki huyo.


Na swala la kuongozana naye kila uendapo, kwangu sio ishu ya lazima sana, ila kama unataka iwe hivyo, muamrishe akufuate vile unataka na sio vile yeye anataka. Democracy sometimes sucks.

NB: nasema haya ili usije ukanywa vidonge vya sumu bure wakati wewe ndiye kichwa sio mkia.
Swala la wewe kujitafakari muonekano wako halina msingi hata kidogo, cause no one is perfect. Sana sana litaua confidence yako siku za mbeleni.
So long amekubali mwenyewe kuolewa na wewe. She deserves all of you.
 
Jiangalie kwanza kwenye kioo then umuangalie mpenzi wako kama hamuendan ongozana pekeako
 
mwache bhana mwanamke wa hivyo anakusaidia nini sasa
 
Duh! pole sana aisee, sasa kwanini alikubali kuolewa nawe kama hataki kuonekana mkiwa pamoja hadharani au uongee chochote mbele ya kadamnasi!?

 
Ndani ya ndoa kuna siri nyingi zimefichika, kama hujaingia ndani ya ndoa ni vigumu kujua matatizo ya ndani ya ndoa, Mungu angetupa uwezo wa kila mtu kuona kinachofanyika ndani ya nyumba ya mwenzake,sijui kama watu wangeoana, pole Sana, lakini kwa kuwa umekula kiapo mpaka kifo kitakapowatenganisha, ni vigumu kupata ushauri mzuri kwenye mitandao, anza na familia yake kwanza, baada ya hapo nenda kwa viongozi wa dini waliooa, ikishindikana, ongeza mke wa pili kama ni Mwislamu, kama Mkristo imekula kwako.
 


Hatari sana...duuuh..Mwanaume ni kichwa cha familia kwann mwanamke awe ndo mwenye sauti ? aisee kuna walakini kaa nae chini mzungumze kuwa hiyo tabia huipendi....
 
Mkuu siku utakayoacha kuvaa kaboka ndy mkeo atakapokuwa anapngozana na wewe.

Mwamke siku zote akiwa na mwanaume asiyevutia mbele ya uso wa jamii hayo ndy afanyayo.
Hapendi kuongozana na mwanaume wake..

Hakiksha unakuwa up to date..

Hata status utawekwa...
 
Pole mtoa maada kuna mahusiano bila kubustiana hayaendi...

anza na ww kumshiit lazma atarudi kny mstari,

muone wa nini na wewe, nausionyeshe kuuumia kuachwa, ila kabla hajaweka mazingira ya kukwambia tangulia mahali flani anza ww lazma akili yake itakaa sawa,
 
Mimi naona hapo kama mdau mmoja aliyechangia kwamba dawa ni kumpotezea tu. Mpotezee mkuu usitake kuongozana nae,sehemu alipo usikae ondoka hata kama ni kikao asipokuwepo kaa na changia vizuri. Akiwepo ondoka unaweza waambia atachangia mke wangu kama kuna ulazima
 
Tangu uchumba ilikuwa hvyo. Uchumba ulichukua muda gani?
Uzi japo wa muda.
Ila wanasema mara nyingi kiashiria cha mwanamke asiyekupenda ni anakuwa hayuko huru kuwa pamoja na ww public.
Wanaosema kuhusu mavazi sioni kama ni ishu coz ni kitu rahisi tu mwenzi wako kukwambia vaa hivi au vile. Na ungekuwa unalazimisha basi ungejua mapema hlo ndio tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…