Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Mkuu kama unatembea nae kitandani inatosha.....babarani tuachie sisi wezi wa wake za watu
 
Hili nimeona siku moja kwa rafiki yangu nasio mmoja wengi tu zamani nyie wanaume ndio mlikuwa hamtaki kufuatana na wake zenu ila sasa hivi ni wanawake .
Nikwamwona best yangu kamwambia mume wake utatukuta stend au tukutane harusini au mgahawani mpaka na leo sijaelewa kabisa shida iko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…