Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Mkuu angalia sana personality yako na hygene ya mwili hasa mavazi na kunukia unapo kuwa na wife wako!

Sasa hadi leo umevaa pekosi suruali imeachia chini imebana juu na shati lako la mchelechele na viatu chachacha nani aongozane na wewe?Hata mm rafikio nitakukimbia tu

Piga JS suit ukipiga na Salvatore Ferragamo shoes nyoa vyema na piga perfume nzuri yy mwenyewe mke ataji feel proud kuongozana na wewe!

Achana na makubazi mkuu ukiwa na wife ehehehe
 
Kama naanza kukuelewa hivi
 
Wewe sio type yake tht's why
 
Kuna mambo ni lazima umsikilize mkeo. Mke akikuambia usivae hilo shati limepauka kola, ukabisha. Unajitaftia majanga bila sababu. Akikukimbia usilalame
Ehehehe yupo na wife anapiga makubazi na viroba kashika mkononi,nani atakubali aongozane na yy?
 
King`asti nimekupenda bure, koment zako zimeenda shule, natamani mtoa mada angezisoma na kuzitendea kazi
 
HAHAHA AISEE INAELEKEA KUNA JAMBO ZITO SANA NYUMA YA HII HABARI WEWE HUJAJUA TUU..MDADISI TARATIIB IPO SIKU ATAFUNGUKA IKIBIDI MUHOJI MKIWA KWENYE GEGEDO TENA KAKOLEA ANAKARIBIA KUKWEA KALE KA MLIMA KA MARAHA UKIONA ANAKUTOLEA NJE KUJIBU WAKATI HUO FANYA KAMA WATAKA KUMKATISHA UTAMU ATAKWAMBIA TUUUU HAHAHAHA UWII MAGU YUKO WAPI ANIKAMATE MUDA WA KAZI NAANDIKA MAMBO HIZI😱😱😱
 
Duu, hii ni hatarii ngoja tupate michango ya wana ndoa tupate funzo.

Ninavyohisi labda kuna baadhi ya mambo unayafanya mkiwa pamoja haupendi mfano inawezekana mnapokuwa pamoja unapenda kumshka ama unazungumzia mambo binafsi yanayowahusu hivyo anajaribul
kukunyamazisha
 

Utamponza mtoa mada wewe! Yani katikati ya raha tena aanze maswali eti "kwanini Jumamosi iliyopita hatukuongozana kwenda arusini"
 
fanya utafiti wa kina utagundua nini tatizo! na usipende sana kumnyenyekea kila kitu baby why,baby sorry! wewe tayali ni mume angalia usije pinduliwa kama nkulunzinza yeye akawa kichwa wewe ukawa umeolewa!
 
Utamponza mtoa mada wewe! Yani katikati ya raha tena aanze maswali eti "kwanini Jumamosi iliyopita hatukuongozana kwenda arusini"
IN A VERY VERY NICE AND LOVING WAY

LIKE DARLING WANGU UNANIPENDA LAZMA AKUBALI AND Y HUPENDI KUONGOZANA NA MIMI AND BLA BLA KAMA KUNA MAHALI NAWEZA KUSEMA JAMBI KIURAHISI NI WAKATI NAPANDA KILIMA WALAH HATA KAMA NI UCHAWI NTASEMA
 
mchunguze mkeo kuna aina ya wanaume anawapenda kuanzia mwonekano wao mpangilio wa mavazi .. namnavyoongea na mengine ... pia katika ndugu jamaa na marafiki zenu angalia ni mwanaume gani akikaa naye anakuwa huru .... ila pole au labda mkeo anapigwa na ndugu na rafiki zenu wa karibu hili usiwaze sana nililokoleza mmh lina ukakasi ila nimesema kutokana na mwanamke mmoja yeye hayupo comfortable na mumewe kumbe pale pale watu wanambanjua duh ngumu aiseee.......
muhimu ukiona huwezi kuvumilia zaidi mpe black and white mkeo halafu mwambie matokeo ya hayo na unachoelekea kufanya soon akiendeleza hiyo tabia...........
au labda wewe unasura mbaya yenye ukakazi
 
Kw
Kwanza pole kwa hayo matatizo.Baada ya hapo naomba majibu yafuatayo ili nikusaidie.1.Wewe unafanya kazi gani na yeye anafanya kazi gani?2.Nani kati yenu ana kipato kikubwa?3.Je mnapeana unyumba bila vikwazo?4.Mlianza namna gani hadi kuoana?5.Matatizo haya yalianza toka mlipooana au yameanza hivi karibuni?6.Je kuna vituko au viroja vyoyote ambavyo wewe huwa unafanya huko motaani?7Unawafahamu marafiki zake na tabia zao?Sasa nipe majibu hayo ili nikupe mipango mkakati ya kusuluhisha hilo tatizo
 
Hilo swala kipindi cha mahusiano yenu haukuliona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…