Mke wangu hapendi kushiriki tendo la ndoa

navache

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
499
Reaction score
368
Natumaini nyote wazima.
Naomba kusaidiwa jambo hili huwaje. Ninaishi na mke miaka miwili sasa, lakini nakosa furaha kabisa kwani tendo la ndoa linafanyika angalau mara 1 kwa wiki 2/3, tena kwa "ngumi". Mwenzangu anasema hajisikii.
Jambo hili ni kawaida?
 
Hakuna cha kawaida hapo!
There must be something wrong! Findout.
 
Huyajui mapenzi,ndiyo maana anaona kelo,jifunze kumtayarisha kwanza kabla ya kuduu....ngoja akutane na fundi kama utamwona tena...
 
Je mke wako anafanya kazi gani
Kwani kazi ngumu Ni moja ya sababu
 
Mkeo anakabiliwa na ugonjwa unaoitwa ULIMWI. Upingufu wa Libido Mwilini.
Visababishi vya gonjwa hili ni pamoja na kuwa na:-
1. Stress
2. Spiritual Husband
3. Punyeto
4. Mapenzi nje ya ndoa.



spiritual husband (mume wa kiroho<?>), ndo ikoje hiyo?
 
Huyajui mapenzi,ndiyo maana anaona kelo,jifunze kumtayarisha kwanza kabla ya kuduu....ngoja akutane na fundi kama utamwona tena...

Nashukuru kwa mchango wako, inawezekana siyajui mapenzi kama ujuavyo wewe kwani kila mmoja naamini ana namna ajuavyo, LAKINI ndugu yangu hata kuguswa hataki, nawezaje kumwandaa?
 
Fukuza linakusaliti hilo kwani kaka kwako limekuja kulaa?
 
kama hajisikii dont force her.
 
Tatizo linaweza kuwa kwake au kwako.
1. Kwake-possibilities
-stress za kazi(kama ni mtu alie bize)/maisha
-hana mapenzi na wewe/mapenzi yamepungua/amepata mchepuko unaomkuna vizuri zaidi
-dalili za "menopause" kama wife wako amefika 45 or above
-side effects(madhara) za dawa za uzazi wa mpango(kama anatumia)
-tendo hilo inamkumbusha jambo la maumivu; mfano kama aliwahi kubakwa
-mnafanya tendo hilo kimazoea sana "business as usual" hakuna ubunifu wowote, hakuna jipya so she is bored with that monotonous.
-dalili za mimba changa-kama bado yupo katika umri wa kushika mimba na hatumii njia za uzazi wa mpango.
2. Kwako-possibilities
-humuandai kiasi cha kutosha so hapati raha bali maumivu hivyo anaona ni karaha au huuelewi mwili wake vyema na jinsi ya kumkuna vizuri.
-usafi wako wa mwili hauridhishi mfano unanuka jasho/kikwapa/mdomo au sehemu za siri
-ulimuudhi mfano amegundua una mchepuko kwa hiyo hana furaha na hilo tendo
-unamnyanyasa/humsikilizi/kuna ahadi hujatimiza hivyo analipa kisasi
Jaribu kukaa chini na kutafakari along those lines, halafu uangalie a way forward.... Pia nakushauri siku moja umtoe out muende sehemu tulivu yenye faragha na umuulize kwa upendo na upole kuwa tatizo ni nini
 

Nashukuru sana kwa majibu mapana, hebu niyatafakari..
Mungu akubariki.
 
Nashukuru, mara nyingi sababu huwa;
1. Sijisikii
2. Nimechoka
3. Ninausingizi

kwa majibu hayo ni huyo jini mahaba ndiyo anayefanya kazi badala yako, nilidhani anatatizo kama nililopata mimi ila kwa sasa nimeshapona, ili kuwa nikofanya napata maumivu ya mguu na unauma kwa week mbili hadi tatu ndiyo ninapata nafuu, ila sasa nimeshapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…